TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

majanga

majanga majanga majanga majanga majanga majanga majanga majanga majanga

cc ladyfurahia, signature mpya imeleta Majanga ama, badala ya wewe kupatwa imekuwa tofauti, komaa ushikilie usukani, ndoa haiwezi kuvunjika kwa mambo madogo ambayo hayana mashiko. Wewe unamwamini Mungu yupi, maana ndoa yenye baraka ya kimungu imeandikwa mwanadamu asiitenganishe, Mahakamani, usitawi wa jamii unaenda kutafuta nini sasa.
 
Last edited by a moderator:
ivi Mentor unampango wa kuokoa ndoa yako kweli?
Zaidi ya kuwa wako tu...



Acha majungu shosti!



shem inakuaje sasa shem....dadako si kaamua mwenyewe au!??
 
Last edited by a moderator:
Nipo Bagamoyo kuifanyia kazi hii kitu kwani hapa nilipo nimeingia kwenye mtungi wa moto yakichemka huku nikiwa siloani kabisa na nikitoka hapa breki ya 1 pantoniti hapo kuondoa vikaragusi wote wa hiyo saccos mbona patachimbika heri uwaondoe kabisa kabla sijaingia na FASTJET ya uhakika
Na wewe ukinikubali SACCOS nafunga kabisa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom