Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
hayo hayo maombi yamesababisha mm nitoe miguu yangu kwake nasubiri ajaze fomu niliyotoka nayo mahakamani kisha tuende kwenye baraza la wazee, na baraza la la Baba V
haaa....!! Cousin! Usitake niamini kuwa maombi yangu mimi na shem Mentor ndiyo yanataka kukuvunjia ndoa yako, ila mbona uliniruhusu mwenyewe nimfanyie maombi shemeji? Sasa kwanini unanigeuka tena?
Basi ngoja nisitishe haya maombi ili ndoa yako isivunjike
Last edited by a moderator: