TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

hayo hayo maombi yamesababisha mm nitoe miguu yangu kwake nasubiri ajaze fomu niliyotoka nayo mahakamani kisha tuende kwenye baraza la wazee, na baraza la la Baba V
Siamini cousin!!!!! Yaani yale maombi tuliyoomba jana na Mentor ndiyo yanavunja ndoa? Kweli shetani ni mbaya, usikubali kushindwa, komaa naye mpaka kieleweke.!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
hauna silaha za kivita?
uvumilivu umenishinda my dia, naletewa wanawake ndani ya nyumba si jambo la kushangaza hilo, kinachoniuma zaidi ni kulala sebuleni mm na watoto maamaaaax2
 
ninakuja na mizinga yangu toka USA kukunyuka wewe usiye na haya
Paloma, vipi can we go have a drink to these news later today?

Hlafu kuna mualiko wa chicken pilau na mapochopocho mengine somaliland..with the 'butterfly' dude...
 
tatizo ni kwamba alirudi usiku wa manane home huku akiwa na dogo pembeni na kuniambia nimpishe bedroom ajipumzishe na huyo mwali mpya, sikuwa na jinsi ilibidi mm na mwanangu tutoke twende kulala sebuleni yani sijui nifanye nini niko njia panda sana nashindwa la kufanya nasubiri ajaze fomu za mahakamani, na kunipa talaka yangu tu basi


na wewe ukawapisha..........!!??!! badala ya kuwajoin!!??!!
 
nilikuwa bize kule Ustawi wa Jamii na ndo nimerudi unasemaje my dia, kwani nimeshamaliza mambo yote ya mtoto nangojea mahakamani wakiniita na kwa baraza la Baba V aniite naye, kisha nitangaze rasmi kabisa kuondoka kule pantoniti
kwanza anaetaka kuachana na wewe yuko wapi
maana hata simuoni humu ndani
ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
tunaye mtoto mmoja na ana miaka 3 ni copylight na yeye, nitashukuru kama utakwenda kwao kuongea nao nitashukuru sana kwani moyo bado wampenda ila sasa uvumilivu umetoweka best
Pole sana mama kwa tabu unazozipata.. lakini kwanza usichukue hatua hiyo.
Mimi na wazazi wake tutamuita tumkanye.. akirudia mie nitakuwa shahidi yako
Naona vibaya mmeshazaa watoto.. mkitengana mtawapa shida watoto wenu..

Shem ladyfurahia msikilize marehemu Marijani akikupa ushauri..
 
nilikuwa bize kule Ustawi wa Jamii na ndo nimerudi unasemaje my dia, kwani nimeshamaliza mambo yote ya mtoto nangojea mahakamani wakiniita na kwa baraza la Baba V aniite naye, kisha nitangaze rasmi kabisa kuondoka kule pantoniti

msiachane kwanza hadi tamsha letu lipite bana!!!!!
 
sasa mbona nyie mmeachana...............na mie naachana banaa kam andio hivyo! kila mtu anaachana tuuuu.........why?

sie ni kwasababu kadhaa ila kama sosoliso kajakukosea usimuache
 
Last edited by a moderator:
nifanyeje bestito na wakati alikuwa mkali kama pilipili manga, ilibidi nifanye hivyo niwapishe tu kwa upole
na wewe ukawapisha..........!!??!! badala ya kuwajoin!!??!!
 
nisaidie besti sikujua mie
sasa hapo ndio unaharibu! tena sana!
wakati mimi naenda kukugombelezea mrudiane unasema unakuja na makombora!
haya! angalia yasijekukurudia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom