TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

Mtambuzi com zis wei pliz, embu msaidie huyu mwali! Kwani jana ilikuwaje tena?!?! ladyfurahia pole kwa yaliyokusibu! Ila kutokana na ulivyoandika sijui nikushaurije ilhali umeshaamua kuacha na na mdogo wangu Mentor? Mentor nawe naomba ujongee hapa unene walau neno moja nipate tulia, mie na shemjei yako sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Hay marafiki

NI MANENO YA HUZUNI KWANGU
View attachment 100649
"ACHENI TU JAMANI YASIWATOKEE NA NYIE
KATIKA NDOA ZENU. MWENZENU NIMESHINDWA SASA"




Nimeona sio vyema kuwahabarisha jambo hili ambalo kwangu linanipa
simanzi, huzuni, na furaha kuondoka kwangu sina jinsi ila ni maamuzi
yangu binafsi, kwani karaha, vituko, vitimbwi, visanga, majanga
yamenitosha sasa mpaka nalala sebuleni jamani kisa NDOA.

Imefikia hatua hata anawaleta home hao wanawake wake kisa kunikoga,
nasema marafiki zangu uvumilivu umenishinda mie, kwani takribani

malongo 4 sasa na tuna mtoto View attachment 100648Huyu ana miaka 3
lakini mwenzangu wala hatulii tumlee mtoto wetu ambaye ni mbichi
na ni kinda letu. Imenibidi niende
USTAWI WA JAMII kwa ajili ya madai
ya mtoto wetu huyu na kisha niende Mahakamani kwa ajili ya fomu ya
TALAKA kwani nimeshashindwa na hii NDOA ambayo kwangu ni mateso
na ni unyanyasaji wa kijinsia.
Mentor amekuwa haeleweki kabisa sijui nini
kimemfanya awe hivyo, ule upendo wake wa kwanza kwangu umetoweka km
sisimizi, sijui nilichomkosea kwake mpaka afanye hivi. Marafiki zangu mwenzenu
sasa nasema basi, naomba mnishauri nifanye nini ila moyo sasa usharudi nyuma.
NIFANYE NINI?

CC: Mamndenyi, Kipaji Halisi, Bujibuji, watu8, Mtambuzi, Paloma, sosoliso, Nicas Mtei, stevoh, Lady doctor, charminglady, Filipo, Erickb52, Bishanga, The secretary, Jiwe Linaloishi, Smile, kabanga, Heaven on earth, AshaDii, Passion Lady, Ruttashobolwa, amu, KakaKiiza figganigga na marafiki zangu wote

Umefikaje huko ustawi ilihali kwangu hujawahi leta malalamiko...!?? inawezekana wewe ndo una matatizo na ndio maana hata ofisi yangu hujaishirikisha...
 
Last edited by a moderator:
Siamini cousin!!!!! Yaani yale maombi tuliyoomba jana na Mentor ndiyo yanavunja ndoa? Kweli shetani ni mbaya, usikubali kushindwa, komaa naye mpaka kieleweke.!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Unaigaiga tu eeh... na ulivyoingia kwenye ndoa uliiga.. angalia usijeiga ku pooh kwa ndovu..!

Mwenyekiti Baba V, I love my husband sosoliso and i intend to remain married to him to the very end of times!

Ila nakushauri sana angalia katiba yako ya ndoa jf, maana hii kasi ya kuachana na kuwowana, sidhani kama inaashiria mema! Chonde chonde mwenyekiti!
 
Last edited by a moderator:
Si uzae mwanao kha... au nyie ndo mnasubiri mke mwema toka "KWA BWANA"

Ukisusa wenzio twala,walah kwenye miti hakuna wanjenzi yani pamoja na uzuri wa huyu binti bado umemfanya mafanyo?????ladyfurahia usijipe kisukari wakati wengine tupo,kwa taarifa yako nina mtoto mmoja nilizaa na binti mmoja hapa kipindi hicho alikuwa anamilikiwa na bishanga kwa iyo binti akaamua amzalie bishanga kupitia mimi!!!
 
heee babe sosoliso yani hata mie nimeweweseka hapa............sina uhakika na ninayoyasikia! nikisema sana ntaambiwa mmbeya! ngoja nitaongea napande sote ili kunga'mua ukweli u wapi!!!

babe sosoliso nimekumiss mpaka nimepata taji la kukumiss! naona kama muda wa home unachelewa.......sijui nimtorokeje mkoloni leo!! na obama keshachapa lapa hamna visingizio!

Mie pia babe Paloma.. Hebu mwambie mkoloni huyo kwamba huzband amezidiwa sana na tiba unayo wewe..
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti Baba V, I love my husband sosoliso and i intend to remain married to him to the very end of times!

Ila nakushauri sana angalia katiba yako ya ndoa jf, maana hii kasi ya kuachana na kuwowana, sidhani kama inaashiria mema! Chonde chonde mwenyekiti!

Babe Paloma Mwenyekiti Baba V naona kazi inamshinda.. Hii kasi ya magomvi ndani ya ndoa inazidi.. Juzi tu hapa Arabela nae ameshindwa na kubwaga manyanga kwa@zubedayo_mchuzi mwenyekiti yuko busy kunyemelea vidosho lol..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom