MNDEE
JF-Expert Member
- Jul 10, 2009
- 491
- 68
Wale wenye interest kabala hawajalizwa $300 wafanye karesearch kadogo kutafuta ukweli wa hii deal, wako watu wamelizwa kwa mchezo huo wa kutumiwa waraka usio na kichwa wala miguu hujui umetoka kwa nani na unaishia na Your friend.. what is in it for them!!?? Uzuri wote mnaonekana hamko tayari kutoa hiyo dola 300 kabla ya kazi hivyo kama ni 'wanigeria' itabidi waje na mbinu nyingine.
Kama wanania ya kusaidia maskini walete jina la hiyo Agency, address, site yao, jina la CEO au owner mkishapata hivyo anzieni google, na malizieni kucheki na ubalozi wao. Kama ni kusaidia maskini mbona kwao wako wengi tu including mahomelss ambao wanahitaji msaada zaidi yetu at least sie tunaweza kula na kulala kwa mjomba. Jiulize kama wana uwezo wa kulipia tiketi, visa na kadhalika hizi dola 300 ni za nini? Mjini hapa.