Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Field Marshall ES, Aug 6, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Wakuu wote JF, bila kumbagua yoyote nina rafiki wa kike wa kizungu anayefanya kazi kwenye mradi mmoja ambao ukitimiza msharti yake ambayo sio magumu sana, basi wanakupatia viza ya miaka mitano kwenda nchi moja majuu kufanya kazi, ni kwa professional mbali mbali na hata kwa wasio na professional wanakubalika,

  - Ameniambia the goal ni matajiri flani hivi wa kizungu wanajaribu kuwasaidia watu kutoka nchi masikini, sasa naomba kusema hivi hapa JF wanaingia hata mabalozi mengi ya majuu bongo kila siku, kwa hiyo siwezi kuweka yote hapa wazi, lakini sina tatizo kumsaidia yoyote yule mwenye kuhitaji huu msaaada mradi tu msaidiwa awe bongo, na kuna fee ya dola mia tatu, mimi sifanyi lolote zaidi tu ya kuhakikisha kwamba una pass na unataka msaada, ninaku-connect una-deal nao mwenyewe, lakini ni lazima unifahamishe ili nimfahamishe huyu dada, aifuatilie fomu yako.

  Tuwasiliane kwenye PM, au mtuwameli@yahoo.com. Mods na Utawala naomba muipe nafasi kidogo hapa ingawa sio pake, ili iwafikie ndugu zangu walalahoi, unajua sisi mabaharia huwa ni watu wa kusaidiana sana kwa sababu tusingefikia hapa tulipo bila kusaidiwa na wengine, na huwa hatusahau tulikotoa au kusahau wengine wenye shida.

  Ahsanteni Wakuu.

  Field Marshall Es, wazee wa sauti ya umeme!
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Mkuu FMES asante kwa info, kama kawaida heshima mbele sana mkuu na ubarikiwe kwa huu msaada, ila again kikwazo kitakuwa ni hiyo fee ya dola 300-ijapokuwa kuna watakosema toa hela upate hela, lakini huwezi kuwa huna hela unatafuta kazi utegemewa kuraise dola 300 hasa kwa mtu ambaye hana kabisa chanzo cha kipato unless akope..of which inabidi iwepo guarantee kuwa atapata hiyo kazi, otherwise hii si itakuwa kama bahati na sibu?

  Again thanks mkuu kwa info!
   
 3. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Hii ni barua toka kwa huyu mshikaji wangu, nimeipunguza punguza info muhimu, nafikiri utaelewa sababu otherwise yote yapo hapa chini:-   
 4. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa upande wangu nashukuru sana maana nina watu wachache sana wenye kuweza kupenda na kufurahia maendeleo ya watu wengine ingawa sasa umeniogopesha ulivyoiweka hapa kwenye jukwaa la siasa nikawa nahofu isje ikawa ndio utaratibu wa kutaka kuwajua watu wa JF siunajua uchaguzi unakuja.(Mawazo tuuu)
   
 5. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2009
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hii imekaa poa sana mimi nasikia kuwa unemployment imekuwa juu huko kumbe kazi kibao dola 300 tu! mzee ukifanikiwa kuwatoa 300 walio na kazi kwa sasa hapa bongo sisi tusiotaka kuja huko majuu nasi tutapata chance hapa.
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  thanks kwa infor....lakini mhh
  sijui lakini inatia mashaka......mkuu fmes mimi najiandikisha na hawa watu......ila nikubaliane nao.....$300 watanikata kwenye mshahara wangu nikianza kazi
   
 7. M

  Mzenji73 JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hata nami naungana na Yo Yo, niorodheshe ... watanikata hizo $ 300 kwenye mshahara wangu
   
 8. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Na wewe punguza kulumbana humu, USOME, upate kazi kutokana na taaluma yako.

  Sio kufikiria kubeba mabox milele! LOL
   
 9. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Wakuu look, ninaamini kwamba ukiyasoma hayo maandishi ya huyu dada yako wazi na very clear kuwa yanatokea kwa bina-adam mwenye uchungu na watu wananihusu, siwezi kuweka jina, heshima na utu wangu kwenye something ambacho ninajua kuwa ni utapeli, what a country of ours kila bin-adam mwingine lazima awe hana nia njema maana ndio tuliowazoea arround us!

  - Inasikitisha sana, anyways tayari kuna waliojitokeza tayari maana binafsi nimearifu pia washikaji wa karibu sana, na sasa nimeanza kufuatilia waliojitokeza ili niazne kuwasukuma huko mbele ambako mabaharia huwa tunaita kwenda kuchokonoa masharubu ya simba.

  Respect and Out!

  FMEs!
   
 10. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #10
  Aug 6, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mhh hii deal mbona ina-sound kiutapeli vile? haya wadau mnaotaka kwenda kutumikishwa chance ndio hii....
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Una matatizo ya mtindio wa ubongo? kwenye post yangu nimelumbana na mtu....mijitu mingine bana....
   
 12. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #12
  Aug 6, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Pwenti.
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Aug 6, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  I advice people not to get involved in this. One, no real jobs offer ask for an advance fee, secondly, this company if it working with an immigration office it should be able to give out its name and in what country this immigration office is, and no emergency travel docs for regular employment can be guaranteed by a private urgency.
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  provided umesema wewe kigogo wa JF hutaitwa mzushi,mmbea unaependa kulumbana.......
   
 15. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #15
  Aug 6, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkulu mbona unapenda sana kulia lia kama mtoto? we ni mtu mzima bana achana na haya mambo ya sio kuwa na maana.
   
 16. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Hii habari ilipohamishwa pale haraka sana nilijua kuna mkono mzito sana wenye hasira ya something-else bwa! ha! ha! ha! lazima nicheke sana na this,

  - Nimesema wazi bila kuficha kwamba nimeondoa majina kwenye hiyo info nikiwa na sababu nyingi za kuifahamu nchi yangu, lakini maswali yote uliyo-raise ukiisoma vizuri sana barua ya huyo dada utaona kuwa nimefuta na kuweka dots, na ungenifahamisha kwa pembeni ningekupa na bado ninaweza kukupa barua yote, isipokuwa nimeamua kutoiweka hapo mbele yote kwa sababu ya kuijua bongo vizuri sana, sometimes you try to carry too much on your shoulders kuliko uwezo wako, yaani zile zile tabia za Mwalimu, au? Bwa! ha! ha!. Demokrasia sio rahisi jamani inawashinda wazazi wetu na taifa letu, ama sivyo kina Kolimba na Wangwe wangekuwepo mpaka leo!

  Otherwise, shukrani kwa maoni yako ila yako mis-informed wakati ukweli ni kwamba hayo uliyouliza yote yapo kwenye hiyo barua hivyo ila nimeyatoa kwa sababu, na sidhani kama kuna mbongo yoyote anayeweza kushindwa kuelewa hiyo sababu. Sasa ninawasaidia mabahria wenzangu kwanza walioko juu ya mawe na ninawalipa mwenyewe, na nitakufahamisha matokeo tena hapa hapa wazi mchana kweupe!

  May God Bless You Bro! na H/VE A NICE DAY!

  FMES!
   
 17. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #17
  Aug 6, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ndugu hapo nyuma kumekuwa na barua kama hizi lakini ukitrace hizo email inaonyesha zinatoka nchi fulani ya afrika ya magharibi je unaweza kuforward email yote original ya mwanadada huyo ili nijue habari zaidi kuhusu mahala alipotuma na kuweza kujua vitu vinging kama usajili wa email yenyewe na kuulizia kama kweli haina shauku yoyote na watu wengine ? Kama nilivyokwambia kuna email nyingi zinazofanana na hizo na nyingi zinataka watu kwenda kufanya kazi kwenye mahoteli au kuhudhuria mkutano fulani ila wahanga wakubwa ni wanawake warembo koz huwa wanauzwa haswa nchi za ulaya ya mashariki
   
 18. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Mkuu Shy, heshima yako this is what I am talking about, shukrani sana kwa ustaarbu wako, ninakutumia sasa hivi barua yote kwenye PM ila tafadhali sana kuna washikaji wangu wengi wako mbioni na hii kitu, one mistake wataishia... kwa hiyo please naomba uwe kama ninavyokufahamu in private.

  - Nipe dakika tano, halafu nitakutwangia sasa hivi.

  Respect.

  FMEs!
   
 19. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mimi nikishawasikia hao niliowekea rangi nasisimka maana sasa hivi nahisi EO wameshateka mpaka master??bedroom!
   
 20. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2009
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  this is what we call 419 scam!stay away.even if you received such an email from your FATHER or WIFE,just stay away!
  NO ONE in the west is in a position to hire now.MJUE hilo.they are even struggling to keep the extremely talented IVY league educated employees they have.sembuse kukufuata wewe AFRICA?!aaaaaagh
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...