Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Status
Not open for further replies.
cjambo best, ndio nasubiria kwako, mambo yako yakienda sawa unifanyie na mie connection.

Hebu niwezeshe basi si umeona kiingilio $ 300 tu na bidhaa ikununuliwa hairudishwi listi itakuwa imeandikwa "No refund once sold"
 
Hebu niwezeshe basi si umeona kiingilio $ 300 tu na bidhaa ikununuliwa hairudishwi listi itakuwa imeandikwa "No refund once sold”


wakati naendelea kudunduliza wewe toa yako hata cent ya mwisho nitakurudishia tufanikisha hii mambo.
 
wakati naendelea kudunduliza wewe toa yako hata cent ya mwisho nitakurudishia tufanikisha hii mambo.

Kaa mkao wa kisafari safari za majuu, Nimepanda mbegu DECI wakati wa mavuno nitarekebisha hizi $ 600
 
Kaa mkao wa kisafari safari za majuu, Nimepanda mbegu DECI wakati wa mavuno nitarekebisha hizi $ 600

haaa best una balaa wewe..nimecheka mpaka bac, ndio mana nikikukosa humu nakonda wallaahh......jokes aside best uliikomalia hii thread aisee, unajua imepita mwaka kuanzia mradi utangazwe? nadhani unataka kupata hitimisho....lol
 
Dah this is such a flash back maana nilikua nisha isahau. Thread kama hizi nazi pendaga kuziona maana inaonyesha jinsi siku zinavyo kwenda.
 
jamani, naomba nielekezwe namna ya kuipata hizo fomu mimi ninazo hizo dola 300 na passport ninayo pia
Mwanahawa , angalia sana utapoteza hizo USD 300 zako... hamna kitu hapo, uko dunia ya tatu kipato chini ya USD 1, processing fee USD 300. Think twice, eti upatiwe ticket na nyumba ya kuishi kule..... Barua kama hizi zimekuwapo miaka mingi na zitaendlea kuwapo... Be careful ni Wizi Mtupu!!!
Ni mtazamo wangu tu lakini changanya na za kwako!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom