Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,287
- 14,592
Natanguliza salamu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenyeji wa Dodoma, kwa sasa napatikana Tabata Dar es salaam. Natafuta kazi ya aina yoyote ile sibagui kazi.
Elimu yangu ni shule ya msingi, nilikatisha elimu yangu kwa sababu ya changamoto za kimaisha zilizopo inje ya uwezo wangu.
Ninaujuzi wa kuendesha bodaboda (Sina leseni), biashara ndogondogo, pia nina ujuzi wa uendashaji biashara na uchakataji wa madini ya dhahabu.
Ambao niliupatia katika migodi mbalimbali ya madini mkoani dodoma. Kazi ya aina yoyote nipo tear kufanya hata shamba boy, kibarua wa ujenzi n.k. Asanteni sana.