Tangazo la kikao cha maandalizi ya harusi ya Ruhazwe JR na madame B

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Wakubwa!

Kweli mateso yakizidi wokovu umekaribia
Baada ya kuishi muda mrefu na Madame B bila ndoa,tunakusudia kubariki ndoa mnamo tarehe 20/08/2012,hii inatokana na mimi kuishi na Madame B kwa mateso ambayo kwa mara kazaa amekua akinifungia nje,baada ya vikao vya usuruhishi kufikia mwafaka,mwanandani wangu ameomba kubariki ndoa.
Hivyo basi mnaombwa wa jf wote kuhudhulia kikao kwa mara ya kwanza,kitakacho fanyika ktk jukwaa hilihili.MNAKALIBISHWA WOTE
 
Last edited by a moderator:
Mimi nawahi nitakuwa mama mzaa chema yaani mama wa bw harusi mtarajiwa. kwa cheo hicho moja kwa moja nitakuwa mtunza sanduku la hazina.
 
Wakubwa!

Kweli mateso yakizidi wokovu umekaribia
Baada ya kuishi muda mrefu na Madame B bila ndoa,tunakusudia kubariki ndoa mnamo tarehe 20/08/2012,hii inatokana na mimi kuishi na Madame B kwa mateso ambayo kwa mara kazaa amekua akinifungia nje,baada ya vikao vya usuruhishi kufikia mwafaka,mwanandani wangu ameomba kubariki ndoa.
Hivyo basi mnaombwa wa jf wote kuhudhulia kikao kwa mara ya kwanza,kitakacho fanyika ktk jukwaa hilihili.MNAKALIBISHWA WOTE

omba huyu mhaya asikatize humu kutakuwa hakuna ndoa tena
 
Last edited by a moderator:
me naomba kuwa mlinda daftari make kwny kikao chochote hakukos watovu wj nidhamu. me ntakuwa nawaandika wote watovu wa nidhamu kisha watapelekwa mbele ya pilato. watalipa faini ama kufukuzwa kabisa ktk vikao vitakavoendelea na hata kutohudhuria kbsa sherehe ya kubariki ndoa
 
Kama kawaida naomba kutangaza Kamati kuu then wajumbe watafuata....
Erickb52 -Mwenyekiti wa Kamati
Amyner -Mtunza hazina
Haya wajumbe wengine jipangeni
Kamati ziko wazi uzoefu tu ndo wamata hapa......
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa!

Kweli mateso yakizidi wokovu umekaribia
Baada ya kuishi muda mrefu na Madame B bila ndoa,tunakusudia kubariki ndoa mnamo tarehe 20/08/2012,hii inatokana wangu ameomba kubariki ndoa.

dah ata siamin.. emh madame njoo haraka uokoe jahazi
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida naomba kutangaza Kamati kuu then wajumbe watafuata....
Erickb52 -Mwenyekiti wa Kamati
Amyner -Mtunza hazina
Haya wajumbe wengine jipangeni
Kamati ziko wazi uzoefu tu ndo wamata hapa......

Mie najitangazia mwenyekiti kamati ya chakula
 
Last edited by a moderator:
Muziki,mc,mapambo na ukumbi naomba kuwa mwenyekiti wa kamati niwaletee complit dj sound ya denon,mziki sio wa kuunga unga,mapambo ya ukweli na mc wa ukweli. Mbwenuuuuuuuu! Iwe bojoooooo!
 
Muziki,mc,mapambo na ukumbi naomba kuwa mwenyekiti wa kamati niwaletee complit dj sound ya denon,mziki sio wa kuunga unga,mapambo ya ukweli na mc wa ukweli. Mbwenuuuuuuuu! Iwe bojoooooo!
HB wa ukweli...DJ NDUUU Lol
We kamati yako funguka tu
 
Kama kawaida naomba kutangaza Kamati kuu then wajumbe watafuata....
Erickb52 -Mwenyekiti wa Kamati
Amyner -Mtunza hazina
Haya wajumbe wengine jipangeni
Kamati ziko wazi uzoefu tu ndo wamata hapa......

mwenyekiti kamati ya fujo na vurugu za kushtukiza.!!! Tahadhari kwa kila atakae udhuria tusilaumiane jaman
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom