Tangazo la kikao cha maandalizi ya harusi ya Ruhazwe JR na madame B

dah ata siamin.. emh madame njoo haraka uokoe jahazi

Junior Cux,
we ulishantishia nyau mda mrefu.
Ukajidai kumfuata mrembo wa watu.
Kumbe mrembo mwenyewe ana mume,
mume mwenyewe alisafiri sasa karudi.
Nami nakwambia NO WAY OUT..!!!
Kama utaukubaki uwe Mume mwenza lakini kwa siri,
Karibu..!!
Japo naogopa kama ya kule Kenya.
 
Junior Cux,
we ulishantishia nyau mda mrefu.
Ukajidai kumfuata mrembo wa watu.
Kumbe mrembo mwenyewe ana mume,
mume mwenyewe alisafiri sasa karudi.
Nami nakwambia NO WAY OUT..!!!
Kama utaukubaki uwe Mume mwenza lakini kwa siri,
Karibu..!!
Japo naogopa kama ya kule Kenya.

usijaribu kipenzi changu mtanasa,ila junir roho inamuuma ile mbaya
 
Erickb52 mpe makavu Junior Cux,
maana kazoea kuchezea vyeupe hivi vyeusi vitamuweka madoa.
Ye alikisema cha nini,....!!!

.......tumekuja tunaojua kutumia,anabaki oooh,oonh.....wera,wera wapi junior
 
we BT,
Hebu pata picha,
Mtarajiwa tu alikuwa analala na kuamkia Bar then ndo anaenda kazini,
we unategemea hko kikao kisiwe na pombe Kweli..???
We jongea.

ha,ha,ha,ha,ha.....teh,teh,teh...wife mie sina mbavu!
 
Muziki,mc,mapambo na ukumbi naomba kuwa mwenyekiti wa kamati niwaletee complit dj sound ya denon,mziki sio wa kuunga unga,mapambo ya ukweli na mc wa ukweli. Mbwenuuuuuuuu! Iwe bojoooooo!

we nduu/mamaya lete tu mbwembwe zako hapa,
Afu mwisho wa siku uboronge uwanjani.
Utajua kwanini Masika lazima yaje na Mbu..!!
 
mwenyekiti kamati ya fujo na vurugu za kushtukiza.!!! Tahadhari kwa kila atakae udhuria tusilaumiane jaman

We usituharibie shughuli hapa.
Fujo na sapraiz zako peleka huko nyuma ya jukwaa,
Usije pewa Tanganyika jeki bure..!!!
 
Mimi nitakuwa mshauri nasaha wa kusuluhisha maugomvi yenyu.....................

Tena Mtambuzi ujiandae kbs,
maana analitafuta balaa mwenyewe.
Nawe inabidi uwe ngangari maana mnaweza jikuta Mnachezea kichapo wote wawili,
wewe na Ruhazwe JR
 
Mambo ya mavazi ya bwana na bibi haruc me ntashugulikia, mana nina duka langu, nitawapa bure.

Mh! Kibongo bongo utoe bure??
Au una una mahusiano na mwandani wangu?
Funguka kabla cjakukamata.
 
Wakubwa!

Kweli mateso yakizidi wokovu umekaribia
Baada ya kuishi muda mrefu na Madame B bila ndoa,tunakusudia kubariki ndoa mnamo tarehe 20/08/2012,hii inatokana na mimi kuishi na Madame B kwa mateso ambayo kwa mara kazaa amekua akinifungia nje,baada ya vikao vya usuruhishi kufikia mwafaka,mwanandani wangu ameomba kubariki ndoa.
Hivyo basi mnaombwa wa jf wote kuhudhulia kikao kwa mara ya kwanza,kitakacho fanyika ktk jukwaa hilihili.MNAKALIBISHWA WOTE

Ila nawe Muoaji NAKUPA ONYO
Huu mziki unaotaka kuingia, ni MZIKI MNENE,
CD 990 ,
Ukileta za Kuleta tu,KICHAPO KAMA KAWA KAMA DAWA!
Na ole wako uende kusema Ukweni,
Utan'tambua.
Mi ndo Madame B bwana
Nimezaliwa Mjini na nitafia Mjini,Kijijini siendi ng'o!.
Kama kwenu hujaaga aga kabisa,
Maana unaweza ukarudi ukiwa Umechakaa.
Utaona Dunia imevaa Bukta.
Ila kaa ukijua,
SIPANDISHWI MNAZI KWA MSULI...!!
 
Last edited by a moderator:
Junior Cux,
we ulishantishia nyau mda mrefu.
Ukajidai kumfuata mrembo wa watu.
Kumbe mrembo mwenyewe ana mume,
mume mwenyewe alisafiri sasa karudi.
Nami nakwambia NO WAY OUT..!!!
Kama utaukubaki uwe Mume mwenza lakini kwa siri,
Karibu..!!
Japo naogopa kama ya kule Kenya.

dah unataka nijipe ban mwenyewe kipenzi changu.!!! NIENDE WAPI MIE THATHA Madame B
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom