Tangazo la kikao cha maandalizi ya harusi ya Ruhazwe JR na madame B

Kama kawaida naomba kutangaza Kamati kuu then wajumbe watafuata....
Erickb52 -Mwenyekiti wa Kamati
Amyner -Mtunza hazina
Haya wajumbe wengine jipangeni
Kamati ziko wazi uzoefu tu ndo wamata hapa......

My son unagawa kazi mama. why.
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida naomba kutangaza Kamati kuu then wajumbe watafuata....
Erickb52 -Mwenyekiti wa Kamati
Amyner -Mtunza hazina
Haya wajumbe wengine jipangeni
Kamati ziko wazi uzoefu tu ndo wamata hapa......
Kongosho,kamata mwizi bbbbbbbeeeeeeibi,mbaya wako kumbe wameanzisha mpaka kampuni ya kutunza michango na mmeo!
 
Last edited by a moderator:
Muziki,mc,mapambo na ukumbi naomba kuwa mwenyekiti wa kamati niwaletee complit dj sound ya denon,mziki sio wa kuunga unga,mapambo ya ukweli na mc wa ukweli. Mbwenuuuuuuuu! Iwe bojoooooo!

Ama kweli biashara matangazo.
 
Mimi nawahi nitakuwa mama mzaa chema yaani mama wa bw harusi mtarajiwa. kwa cheo hicho moja kwa moja nitakuwa mtunza sanduku la hazina.

mama chondechonde usiangushe kwenye ahadi ya wazazi ni keshokutwa wala si mbali si unajua wife mwenyewe mlibwende lazima ni mtendee haki
 
Mimi nitakuwa mshauri nasaha wa kusuluhisha maugomvi yenyu.....................
 
Mambo ya mavazi ya bwana na bibi haruc me ntashugulikia, mana nina duka langu, nitawapa bure.
 
Wakubwa!

Kweli mateso yakizidi wokovu umekaribia
Baada ya kuishi muda mrefu na Madame B bila ndoa,tunakusudia kubariki ndoa mnamo tarehe 20/08/2012,hii inatokana na mimi kuishi na Madame B kwa mateso ambayo kwa mara kazaa amekua akinifungia nje,baada ya vikao vya usuruhishi kufikia mwafaka,mwanandani wangu ameomba kubariki ndoa.
Hivyo basi mnaombwa wa jf wote kuhudhulia kikao kwa mara ya kwanza,kitakacho fanyika ktk jukwaa hilihili.MNAKALIBISHWA WOTE
Hivi hujashangaa madameB hajaonekana jamvini? Unamfahamu mtu anaitwa klorikwin? Well....wellll...well......sitaki kuitwa mmbea....ila mmmmhhhhh
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya mavazi ya bwana na bibi haruc me ntashugulikia, mana nina duka langu, nitawapa bure.

niko najadiliana na mwanandani wangu, tunataka wewe ndio uwe mweka hazina,ingawaje bado tunakujadili....kikubwa usikose j2 kikaoni
 
Mimi nitakuwa mshauri nasaha wa kusuluhisha maugomvi yenyu.....................

ugomvi sasa basi!utasubiri sana kusuluhisha.njoo uhaidi j2 usikose,konyagi zitakuwepo badala ya banana maana wewe umezoea banana
 
Hivi hujashangaa madameB hajaonekana jamvini? Unamfahamu mtu anaitwa klorikwin? Well....wellll...well......sitaki kuitwa mmbea....ila mmmmhhhhh

kipenzi changu nimemwambia apumzike ila ngoja ajimwagie maji kidogo ili pate nguvu kisha anakuja jamvin.Kuhusu Klorokwini namfahamu huyu alikua house boy wetu,tumemtimua baada ya kumpa mimba msichana wetu wa kazi ,kwa hyo we njoo kikaoni
 
Ok sawa....
Tafuta wajumbe wa kamati yako mkuu
Chondechonde mtulishe kande

Wajumbe tayari wanajiunga, watu8 nimeongea naye ni mmoja Wa wana kamati hii. Makande yatakuwepo shaka ondoa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom