Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,632
Hawa ofisi zao ziko wapi eti
Hawa ofisi zao ziko wapi eti
We ambaruti kaa kimyaHuyu mwanamama ni mpumbavu.
Khaa eti madogo, kwa hiyo sie wazee tulioomba unatuchukuliaje

anachukulia poa huyo wazee na sie tumo humo ooh game gumu hiliBora hata Ubungo, Kinondoni walitoa tangazo tarehe14 na deadline tarehe 16. Jiulize sasa hilo tangazo lilibandikwa muda gani. Uhuni mtupuWatu mna roho mbaya.Yaani deadline keshokutwa Tangazo linatumwa Leo (Just kidding)
Kweli kabisa barua zote zile kusoma kwa kina hata mm naona kama uongo ,temeke kulikuwa na nyomi balaaMajina yanapelekwe na watendaji. Hizo barua sijui nini ni maswala ya ki itifaki tuu. Hakuna wakusoma application letter karibu elfu10 wakati watu wote wanakidhi. Kinachoangaliwa hapo ni uenyeji na tarafa husika na wenye nguvu hapo ni watendaji maana ni maeneo yao na wanajua watu wao
Sina hakika Sana kwa hilo ulilosema, Ila mwaka 2020 niliomba nafasi ya kusimamia uchaguzi mkuu Kama msimamizi msaidizi, nilifanikiwa kupata bila ya kufahamiana na mwenyekiti wa mtaa Wala mtendaji wa kata, katika kuomba tuliandika barua tukiwa watatu tunaofahamiana, wawili tulipata mmoja alikosa, nadhani ni kumuomba Mungu tu kila kitu kinawezekanaNgoja niwaibie uroto, kama haupo ktk kile chama ch kijani na kadi ipo active sahauu,kaama hujuani hata na mtendaji sahauu, unga tela na katibu wako wa vijana uwe hata na namba yake, maana wale ndo hupewa mtonyo kuwakusanya vijana wa kazi, hii inafanywa makusudi ili baadae inakuwa rahisi linapotokea suaala kuharibika,
Kila mtu anasifa
Khaa eti madogo, kwa hiyo sie wazee tulioomba unatuchukuliaje

Analeta dharau sio.Sasa wiki yote hii kuna watu wana zunguka tu mtu anakaa mbagala anapeleka maombi ktk manispaa ya ubungo, Kinondoni,Jiji na Kigamboni yenyeweDaah..suala la ajira nchi hii sio mchezo.
#MaendeleoHayanaChama
Babu usiniangushe bas inamaana uji jins gani na muda wakufanya data collection husaan ya pupulationNaomba kuuliza hili zoezi la sensa linafanyika kila mkoa na mwezi wake au likianza zoezi mwezi fulani ni nchi nzima
Jamani naomba kuuliza hili zoezi linatofautiana malipo Kwa Kila wilaya na manispaa ama maana Kuna wilaya nyingine kama kinondoni wamesema 30k kwa siku Kwa siku zote za kazi na wilaya nyingine zinasema ni tzs 450k kwa mwezi na 30k ya bundleWakuu , hii ajira ni ya kweli? au ubabaishaji? View attachment 2117447View attachment 2117450
Zingine wamesema elfu 15 na zoezi linafanyika siku 15Jamani naomba kuuliza hili zoezi linatofautiana malipo Kwa Kila wilaya na manispaa ama maana Kuna wilaya nyingine kama kinondoni wamesema 30k kwa siku Kwa siku zote za kazi na wilaya nyingine zinasema ni tzs 450k kwa mwezi na 30k ya bundle
Napata mikanganyiko hapa
Tujuzane wanathread asanteni
😂😂Wewe ndo unajua basi, labda kwa mtendaji wenu ndo mnafanya huo uzwazwaHuna unalolijua wewe na inaonekana hujaomba hizi kazi kwa hiyo kaa kimya ...
Unajua baada ya kutoka kwa afisa mtendaji kata unatoa copy ya barua yako ,yeye anabaki na photocopy na wewe unabaki na og unaambatanisha na vyet vyako ndio unapeleka kwa mkurugenz ? Au hujui huo mchakato .....Mimi naongea kwa experience wewe unaongea kwa kujifanya unajua kumbe hujui ....
Nadhan idadi ya siku ni kutokana na mjini / husika ilivyo kijiografia yani wingi wa watu na makazi madogo ya watundio kila watu kivyao..
Kuna tofauti kati ya siku/Uhitaji wa watu /malipo
kuna wa 30k daily
kuna wa 15k
kuna 450k Monthly
kuna wa siku 68/60/15 nk
Haswaa.Nadhan idadi ya siku ni kutokana na mjini / husika ilivyo kijiografia yani wingi wa watu na makazi madogo ya watu
Wameita lini na kwa staili ganiubungo watu washaitwa![]()