Waache wajaribu bahati yao, usikatishe tamaa watu.Msijifariji bila connection haupati hizo nafasi Kabisa ..tafuta mishe nyengine
Siwakatishi tamaa ila nawaambia ukweli watapoteza pesa na muda kutafuta kazi ambayo wenyewe washaweka watu wao hilo tangazo ni kuita watu egesha tu Nafasi za watu hizoWaache wajaribu bahati yao, usikatishe tamaa watu.
Sio kote leo.. Dodoma bado.. Zinaenda kwa awamuIla deadline c ndio leo kw halmashauri zote au??
Si kupingi kwa niliyoyaona ni Hatari.Msijifariji bila connection haupati hizo nafasi Kabisa ..tafuta mishe nyengine
Leta taarifa kamili tushavurugwa hatuchagui kwziNafasi za kazi za usimamiaji kuzoa taka
Kozi za afya zipi unaongelea. Nilienda interview moja ya utumishi Kada y watu w maabara nafasi moja walikuja watu100Si kupingi kwa niliyoyaona ni Hatari.
Leo nilikiwa naenda kufosi tenda ya kikampuni changu uchwara. Aisee wazazi msomeshe watoto wenu kozi za Afya tu.
duuuh songwe hii
Nadhan itakuwa lishatoka maana ni nchi nzima wanaanza tar 1/3Na wa mkoani Moshi ikitokea tafadhl tujulishane
Zidisha mara 45 days.30k kwa siku ni hela aisee
amna mikoa mingine bado bossNadhan itakuwa lishatoka maana ni nchi nzima wanaanza tar 1/3
Mnakatisha tamaa sana wenzetu, mpumbavu wewe.Kama hauna connection hupati