Tangazo la biashara la twiga cement

Ntambaswala

JF-Expert Member
Dec 7, 2008
255
78
Wadau,
kuna matangazo ya Twiga Cement kwa kweli yanaboa sana, hata kama industry ya matangazo bongo ipo chini lakini hili tangazo ambalo bwana mmoja (Patrick) anawahoji watumiaji wa saruji ya Twiga linaboa sana. Halina mvuto, washiriki wenyewe hawana mvuto bas ili mradi linachosha tu. Ni kama vile walimchukua mfanyakazi wao ndo akacheza lile tangazo badala ya kupeleka kwa watu wenye fani.

Binafsi navutiwa sana na tangazo lile la Zain-uhuru wa kuongea jamaa wanacheza music ofcn lile ni zuri sana.

Matangazo mengine ambayo yameanza kuchusha ni yale ya fataki, mwanzoni yap yalikuwa safi lakini sasa mhhh.............

Ni mtizamo tu....................
 
mkuu.bado tuko chini sana ktk utengenezaji wa matangazo ya B'ness.so usilalamike sana.
 
huwa likianza tu lile tangazo naswitch chanel

ubunifu 0
 
hehehe
waandaaji wa matangazo wanatueouka sisi wabunifu na wasanii wakidhani wanasave money bali wanaua biashara zao.
kweli tangazo linaboa kinoma kweli kweli
 
hayo ya fataki siku hizi ndio hovyo kabisaaaaaaaa...yaani ni mambo ambayo in real life,hayapoe.g lile la kwenye basi,lile la kutajwa na wakubwa na lile la kufanana majina na mjomba...hovyooooooooooo!!!
 
Wadau,
kuna matangazo ya Twiga Cement kwa kweli yanaboa sana, hata kama industry ya matangazo bongo ipo chini lakini hili tangazo ambalo bwana mmoja (Patrick) anawahoji watumiaji wa saruji ya Twiga linaboa sana. Halina mvuto, washiriki wenyewe hawana mvuto bas ili mradi linachosha tu. Ni kama vile walimchukua mfanyakazi wao ndo akacheza lile tangazo badala ya kupeleka kwa watu wenye fani.

Binafsi navutiwa sana na tangazo lile la Zain-uhuru wa kuongea jamaa wanacheza music ofcn lile ni zuri sana.

Matangazo mengine ambayo yameanza kuchusha ni yale ya fataki, mwanzoni yap yalikuwa safi lakini sasa mhhh.............

Ni mtizamo tu....................

Wangejifunza toka kwenye matangazo ya PEPSI. Kwa mfano lile la kale Kanguchiro kamebeba mpira kichwani kanatazamana na Mesii mwenyewe nachoka kabisa
 
tangazo zuri ni lile la mzauzi na mhindi mambo ya woza 2010
 
Kuna tangazo moja la sabuni (nadhani ni family or the like)...damn it! Linaboa kupita maelezo.....
Inashangaza mtu analipia utumbo kwenye radio/tv akitaka ajitangaze. Nadhani matangazo mengine yanakimbiza wateja kuliko kuwavutia!
 
Pia kuna lile la OMO, eti jamaa anachafuka kabla hajamwagiwa maji machafu! Halafu wanamdhalilisha mtoto, anapojiangusha kwenye tope!!! Jamani jamani jamani!!
 
hujaona lile la sabuni ya unga watu wamejazana kibandani,wanaongea motto ya kampuni maneno yanapishana
 
Nilitaka kuanzishia topic jmosi iliyopita. actually hayo matangazo yanauzi sana.
Wamedesa kilakitu kutoka lile tangazo la maleria haikubaliki, ambako yule mwanadada anawahoji watu.Eti Wao ndo wakaona ni kipimo cha tangazo nzuri.
 
Mi kinachoniboa zaidi kwenye tangazo la Twiga Cement ni jinsi Muuliza Maswali anavyomuongoza Mhojiwa. Yaani utafikiri anaongea na mtoto, ilhali watu wananunua cement ni watu wazima na akili zao.
 
hayo ya fataki siku hizi ndio hovyo kabisaaaaaaaa...yaani ni mambo ambayo in real life,hayapoe.g lile la kwenye basi,lile la kutajwa na wakubwa na lile la kufanana majina na mjomba...hovyooooooooooo!!!

avatar yako inajaza mate bana
 
Halafu hilo tangazo la twiga
haliko sawa....
Mfano mteja anaulizwa ukikosa cement ya twiga kwenye duka.unafanyaje?????
Hiii ina maana hiyo cement upatikanaji wake sio wa uhakika....

Halafu swali lingine ni umewahi nunua cement zingine za nje??????
Mteja anajibu hapana....
Sasa kama hukuwahi kununua cement zingine utajuaje kuwa sio bora kuliko
za twiga???????????

Yaani hili tangazo wanajiponda wenyewe...........
 
Wadau,
kuna matangazo ya Twiga Cement kwa kweli yanaboa sana, hata kama industry ya matangazo bongo ipo chini lakini hili tangazo ambalo bwana mmoja (Patrick) anawahoji watumiaji wa saruji ya Twiga linaboa sana. Halina mvuto, washiriki wenyewe hawana mvuto bas ili mradi linachosha tu. Ni kama vile walimchukua mfanyakazi wao ndo akacheza lile tangazo badala ya kupeleka kwa watu wenye fani.

Binafsi navutiwa sana na tangazo lile la Zain-uhuru wa kuongea jamaa wanacheza music ofcn lile ni zuri sana.

Matangazo mengine ambayo yameanza kuchusha ni yale ya fataki, mwanzoni yap yalikuwa safi lakini sasa mhhh.............

Ni mtizamo tu....................

Kwenye 'marketing' wanasema ni hatari na mbaya sana kwa upande wa muuza bidhaa au huduma kwa tangazo lake kuwa kiburudisho kwa watu na sio kuvutiwa na bidhaa au huduma yenyewe. Sasa wewe unatakiwa kusikiliza wanakuambia nini au kupata kiburudisho?
 
Umekosea sana ndugu yangu, Mimi ndo linanitia kichefuchefu kabsaaa, sio hilo tu hata lile la malaria na lile la rungu, Kwa simple logic, unatakiwa unapoandaa tangazo angalia Audience yako, content na vionjo gani haswa vitanasa ujumbe unaoupeleka, lazima liwe fupi. Swala ni Creativity na swala sio kulichukua lijitu tu uliweke pale halafu uliambie utasema hivi.....ndo maana hata biashara zetu hazinunuliwi nje, hebu linganisha tangazo la Whitedent ( si la TZ) na lile la Coral Paints halafu weka haya ya kwetu pale.....kama wanatangaza MSIBA vile......
 
Tangazo la Twiga. Ubahili wa kampuni kuwapa tenda wenye fani zao. Ni Matokeo ya kumpa rafiki ama mfanyakazi Handycam na kumtaka awapige picha wafanyakazi wenzake. Eti "Ukikosa sementi ya Twiga utanunua nyingine ama utaenda duka lingine mpaka uipate" or something similarly stupid. Sheesh! :mad:
 
Back
Top Bottom