THK DJAYZZ
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 2,166
- 175
Checking...100%weka hapa hilo tangazo tujiridhishe
Searching...100%
Downloading...100%
Network connected !
Near by Uporoto Mbeya.
Checking...100%weka hapa hilo tangazo tujiridhishe
Mie nitachagua namba 2 kama booking ni 3 au 2 weeks before lakini kama within a week au siku 4 kabla ya safari nitachagua namba 1 na namba 3 maana hao pamoja na kwamba wanaonekana wapo juu lakini kama una safari na ukafanya booking siku 3 au 4 kabla ya safari bei zao huwa zinacheza hapo hapo ikizidi ni kidogo sana na fastjet huwa juu au sawa na hizo lakini tickect yao inakuwa ni ya vigezo na masharti wakati hizo kila kitu included mpaka vinywaji na hata uki-cancel inakuwa haina kwereA: DAR-MWANZA (One-way) - pamoja mzigo wa 20kgs
1. ATCL = 199,000/= (2 hours & 10 mins. = 130 mins.)
2. Fastjet = 101,000/= (50 minutes)
3. Precision Air = 110,000/= (2 hours & 10 mins.)
** kama mzalendo utachagua ipi hapo?
Tatizo ni mnapanda Ndefe ndo maana mmeridhikaSisi tunaopanda ndefe tumeridhika, we ambaye hata basi kupanda ni ishu unaponda
Ndefe ni chombo gani mkuu.?Sisi tunaopanda ndefe tumeridhika, we ambaye hata basi kupanda ni ishu unaponda
Toa ushuzi hapa na wewe. Ukweki hamtaki kuambiwa mmeng'ang'ania vitu ambvyo ni vya mwaka 47 hamjiekewi hampigi hatua halafu wa kwanza kulalamika hatuendelei. Umepanda kigoma kwenda Mwanza nawe unahesabu umepanda ndege. Kapande ndege sio hizo kites (tiara)Sisi tunaopanda ndefe tumeridhika, we ambaye hata basi kupanda ni ishu unaponda
Jamani hebu mnijuze hizi ndio bei. Maana 2015 nilisafiri na Precession bei ilikuwa ya kutisha! Siitaji maana kuna wajuaji humu hawataamini!A: DAR-MWANZA (One-way) - pamoja mzigo wa 20kgs
1. ATCL = 199,000/= (2 hours & 10 mins. = 130 mins.)
2. Fastjet = 101,000/= (50 minutes)
3. Precision Air = 110,000/= (2 hours & 10 mins.)
** kama mzalendo utachagua ipi hapo?
Vigezo na masharti kuzingatiwa: Toa FastJetA: DAR-MWANZA (One-way) - pamoja mzigo wa 20kgs
1. ATCL = 199,000/= (2 hours & 10 mins. = 130 mins.)
2. Fastjet = 101,000/= (50 minutes)
3. Precision Air = 110,000/= (2 hours & 10 mins.)
** kama mzalendo utachagua ipi hapo?
Sisi tunaopanda ndefe tumeridhika, we ambaye hata basi kupanda ni ishu unaponda
Hata ukiangalia logo yao.....aibu tupu. Kuna some serious rebranding inahitajikaNimeshuhudia tangazo la ATCL clouds t.v asubuhi hii. Niseme tu kwamba, tangazo lile ni la kiwango cha chini sana katika kila hali, kuanzia namna lilivyobuniwa hadi ghraphics zilizotumika. Yaan utafikiri ni Hussein Pamba kali anatangaza yale maduka yake ya pale Kinondoni manyanya au kule Sinza, kumbe ni Air Tanzania??!!! Hivi hawana bajeti ya matangazo, hii ni kujiaibisha, be serious!
Tangazo linatakiwe liseme 'Buy me buy me and Read me read me' Ninunue mimi,ninunue mimi pia nisome mimi, nisome mimiNimeshuhudia tangazo la ATCL clouds t.v asubuhi hii. Niseme tu kwamba, tangazo lile ni la kiwango cha chini sana katika kila hali, kuanzia namna lilivyobuniwa hadi ghraphics zilizotumika. Yaan utafikiri ni Hussein Pamba kali anatangaza yale maduka yake ya pale Kinondoni manyanya au kule Sinza, kumbe ni Air Tanzania??!!! Hivi hawana bajeti ya matangazo, hii ni kujiaibisha, be serious!