Tangazo la ATCL linatia aibu mno!

Tangazo la ATCL linatia aibu mno!

A: DAR-MWANZA (One-way) - pamoja mzigo wa 20kgs
1. ATCL = 199,000/= (2 hours & 10 mins. = 130 mins.)
2. Fastjet = 101,000/= (50 minutes)
3. Precision Air = 110,000/= (2 hours & 10 mins.)
** kama mzalendo utachagua ipi hapo?
Fastjet kwa kweli
 
Hata ukitembelewa website yao hovyo sana...sasa sijui hawajifunzi kutoka kwa wengine au namna gani?
 
Nimeshuhudia tangazo la ATCL clouds t.v asubuhi hii. Niseme tu kwamba, tangazo lile ni la kiwango cha chini sana katika kila hali, kuanzia namna lilivyobuniwa hadi ghraphics zilizotumika. Yaan utafikiri ni Hussein Pamba kali anatangaza yale maduka yake ya pale Kinondoni manyanya au kule Sinza, kumbe ni Air Tanzania??!!! Hivi hawana bajeti ya matangazo, hii ni kujiaibisha, be serious!
Huu unafki.. Ushawahi pakia ata ndege wewe.!?
 
Bei zao zipo juu sana, sasa kati yao na FastJet sjui nani amekuja kumkomboa Mtanzania
 
Hivi kweli mtu una kwenda airport unawaaga watu unasafiri unakwenda kupanda Pangaboy?.Mimi siku nikipanda Pangaboy itabidi niandike na urithi kwa wanangu kabisa maana Mapangaboy hayaaminiki
 
Hivi kweli mtu una kwenda airport unawaaga watu unasafiri unakwenda kupanda Pangaboy?.Mimi siku nikipanda Pangaboy itabidi niandike na urithi kwa wanangu kabisa maana Mapangaboy hayaaminiki
Kwahiyo kabla Fast Jet..ulikuwa unasafiri ndege gani?..acha nyodo wakati hujawahi hata kupanda ndege...
 
Kwahiyo kabla Fast Jet..ulikuwa unasafiri ndege gani?..acha nyodo wakati hujawahi hata kupanda ndege...
Hujielewi wewe hangaika na buku 3 yako wewe Lumumba njaa kari hujielewi soma vzr Nimekwambia siku nikija kupanda hizo taka taka Panga boy ntaandika urithi kbs kwa wanangu sasa ndio ujiulize kabla kulikuwa na ndege gani?.mnatumika sana vijana mnatetea mpaka uozo
 
Wewe mpuuzi kweli,unadhani kila mtu ni mpenzi wa siasa,Fast jet wanatumia ndege za jet (A319)..na hawana muda miaka mingi hapa nchini,kabla yao waliokuwa wakitamba no Precision Air..ambao ndege zao zote ni pangaboi...nimekuuliza kabla FJ..ilikuwa unasafili na Airline ipi?...kama vitu hujui kaa kimya sio kufuata mkumbo..
 
Sijaingia siasa nilichokwambia siwezi kupanda hizo takataka sasa usinilazimishe unajuaje km naishi Tanzania au umetumwa.siwezi kupanda Mapanga boy hayo
 
Mkuu haamini katika 'Advertisements' yeye anajua watanzania watazisoma kwenye magazeti na kuzipanda wakiweka fungu kubwa la 'Marketing and Promotion' anawatumbua.
 
A: DAR-MWANZA (One-way) - pamoja mzigo wa 20kgs
1. ATCL = 199,000/= (2 hours & 10 mins. = 130 mins.)
2. Fastjet = 101,000/= (50 minutes)
3. Precision Air = 110,000/= (2 hours & 10 mins.)
** kama mzalendo utachagua ipi hapo?
Mkuu niulizie hayo Mapangaboy ya ATCL Tabora-Dar One way ni ngapi?
 
A: DAR-MWANZA (One-way) - pamoja mzigo wa 20kgs
1. ATCL = 199,000/= (2 hours & 10 mins. = 130 mins.)
2. Fastjet = 101,000/= (50 minutes)
3. Precision Air = 110,000/= (2 hours & 10 mins.)
** kama mzalendo utachagua ipi hapo?

Acha maswali ya kichochezi.
Mkuu alituahidi kwamba zitakuwa nafuu kuliko nyinginezo.
 
fastjet pamoja na ujanja ujanja bado wameteka soko la hapa bongo na kwenda Harare, Lusaka na Joburg.
 
Nikiangalia au kusikiliza matangazo ya ndege mfano Rwandair,KQ au Fastjet hua naihurumia ATCL. Tangazo la Atcl limekaa ovyo sana wao wanashinikiza uzalendo wakati wako kwenye biashara ya ushindani.
Badala kutaja vitu vitakavyomvutia mteja wao wanashinikiza uzalendo kwanza.
Uzalendo wapi!!! wakati watu wanapotezwa kila itwayo leo.Uzalendo labda mkamulize Bashite
 
Ukiachana na hio tangazo la kideo, jaribuni hata kuvisit hiyo website yao;
Kuna zile picha zinazobadilika
"WE FLY ABOVE NGORONGORO CRATER' an ingine "VIEW THE PEAK OF KILIMANJARO"
jamaa aliye edit kuongezea ile ndege sijui ni nani, maana hata mdogo wangu hawezi kufanya utumbo kama ule. utumbo mtupu. Jaribu kufananisha na website ya Fastjet.

Bila matangazo yanayomake sense na kubaki kusisitiza uzalendo tutaendelea kuidharau Air Tanzania.
 
A: DAR-MWANZA (One-way) - pamoja mzigo wa 20kgs
1. ATCL = 199,000/= (2 hours & 10 mins. = 130 mins.)
2. Fastjet = 101,000/= (50 minutes)
3. Precision Air = 110,000/= (2 hours & 10 mins.)
** kama mzalendo utachagua ipi hapo?
Kama hizo bei ni za kweli ,basi ATCL wana tatizo kubwa
 
Nikiangalia au kusikiliza matangazo ya ndege mfano Rwandair,KQ au Fastjet hua naihurumia ATCL. Tangazo la Atcl limekaa ovyo sana wao wanashinikiza uzalendo wakati wako kwenye biashara ya ushindani. Badala kutaja vitu vitakavyomvutia mteja wao wanashinikiza uzalendo kwanza.
Halafu utasikia wametumia sio chini 50m/= kwa hilo tangazo! Yale yale ya ufisadi yanarudi..
Ila mbona ndio kawaida serikalini, sina uhakika ni vihiyo au upewo wao mdogo, yaani hawana standard wala quality kwenye kazi zao za aina yoyote ile, AIBU..Hata kuiga matangazo ya wenzao hapana, they are so shallow, simple and common!
 
Back
Top Bottom