FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,889
- 43,780
Nimeshuhudia tangazo la ATCL clouds t.v asubuhi hii. Niseme tu kwamba, tangazo lile ni la kiwango cha chini sana katika kila hali, kuanzia namna lilivyobuniwa hadi ghraphics zilizotumika. Yaan utafikiri ni Hussein Pamba kali anatangaza yale maduka yake ya pale Kinondoni manyanya au kule Sinza, kumbe ni Air Tanzania??!!! Hivi hawana bajeti ya matangazo, hii ni kujiaibisha, be serious!