Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,319
- 77,086
Lakini nyinyi hizo ndefe si mnapanda watumishi wa umma na mnalipiwa na serikali?Sisi tunaopanda ndefe tumeridhika, we ambaye hata basi kupanda ni ishu unaponda
Lakini nyinyi hizo ndefe si mnapanda watumishi wa umma na mnalipiwa na serikali?Sisi tunaopanda ndefe tumeridhika, we ambaye hata basi kupanda ni ishu unaponda
Ndo kilichoua hili shirika, lawama kuliko solution, nakumbuka zile technical faults zilizotokea watu walikuwa wanalizonga shirika mpaka headline za magazeti wakati wapinzania wao wakipata ilikuwa kimyakimya na mwisho wa siku wananchi wakapoteza imani na shirikaNjoo na solution kuliko kulalamika tu.
Ndefe ndo chombo gani ambacho kimekuridhisha mkuu?Sisi tunaopanda ndefe tumeridhika, we ambaye hata basi kupanda ni ishu unaponda
Kilugha chao hicho mkuu kama kule kwenu mnavyoita NdegeulayaNdefe ndo chombo gani ambacho kimekuridhisha mkuu?
FASTJET MUBASHARA mkuuA: DAR-MWANZA (One-way) - pamoja mzigo wa 20kgs
1. ATCL = 199,000/= (2 hours & 10 mins. = 130 mins.)
2. Fastjet = 101,000/= (50 minutes)
3. Precision Air = 110,000/= (2 hours & 10 mins.)
** kama mzalendo utachagua ipi hapo?
Kwa kiingereza tunaita BEGGINGNikiangalia au kusikiliza matangazo ya ndege mfano Rwandair,KQ au Fastjet hua naihurumia ATCL. Tangazo la Atcl limekaa ovyo sana wao wanashinikiza uzalendo wakati wako kwenye biashara ya ushindani.
Badala kutaja vitu vitakavyomvutia mteja wao wanashinikiza uzalendo kwanza.
Uzalendo uangalie na mifuko ya watu pamoja na huduma nzuri kwa wateja. Hao Fastjet wamenifanya nifurahie maisha yaani Mwanza ni kama naenda kibaha maili moja.Mkuu fastjet. Hakuna ubishi
Bajeti zipo vitambini mwa watu... welcome to Tanzania ya viwandaNimeshuhudia tangazo la ATCL clouds t.v asubuhi hii. Niseme tu kwamba, tangazo lile ni la kiwango cha chini sana katika kila hali, kuanzia namna lilivyobuniwa hadi ghraphics zilizotumika. Yaan utafikiri ni Hussein Pamba kali anatangaza yale maduka yake ya pale Kinondoni manyanya au kule Sinza, kumbe ni Air Tanzania??!!! Hivi hawana bajeti ya matangazo, hii ni kujiaibisha, be serious!
Fast jetA: DAR-MWANZA (One-way) - pamoja mzigo wa 20kgs
1. ATCL = 199,000/= (2 hours & 10 mins. = 130 mins.)
2. Fastjet = 101,000/= (50 minutes)
3. Precision Air = 110,000/= (2 hours & 10 mins.)
** kama mzalendo utachagua ipi hapo?
sawa ridhika na ndefe yako ila sisi tunataka tangazo bora la ndegeSisi tunaopanda ndefe tumeridhika, we ambaye hata basi kupanda ni ishu unaponda