kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,313
- 12,613
- Thread starter
- #101
Ahsante, huo ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia?Nadhani wanatumia CASIO , citizen ni mbovu sana na zipo feki nyingi mno kutoka china
Wewe ndio hujui kabisaaa!! Mzee Karume aliukubali muungano huu wa hivi kwasababu za woga baada ya kufanya dhambi ya kuwachinja waarabu na mashabiki wao. Kwahiyo wewe unadhani kuwa waliochinjwa hawajaacha ndugu na jamaa zao nje na ndani ya Zanzibar, unadhani mambo yamesha kwenye mioyo yao, wewe unadhani kuwa zile sababu zilizofanya waje kuitawala Zanzibar hazipo tena. Kwa dhambi ile ya kuwachinja waarabu kama Zanzibar ikiachwa peke yao hakutakuwa na Zanzibar bali kutakuwa na Pemba na Unguja na mapigano ya kugombea mali zilizoachwa na Waarabu itazuka. Nje ya muungano hii mtagundua kuwa kumbe Zanzibar ni nchi ndogo sana isiyowatosha, mtagundua kuwa zanzibar kuna weupe na weusi, utagundua kuwa kumbe hapo unapoishi sio kwako utatakiwa aparejeshe kwa mwenyeweUmepanick mzee?. Ndio nyie mnafaidika na muungano. Hakuna mahala nimekuambia walikuwa mazuzu kama unavyofikiria. Na tayari hata wewe umesema kuna jambo kubwa lenye manufaa kwa pande zote mbili “KWA WAKATI HUO”.
Hatuko nyakati hizo sasa zilizokuwa za kufikiria maadui wataingilia huko na Zanzibar kwamba ilikuwa haina nguvu kijeshi. Kifupi Kwa sasa Zanzibar wanahitaji kujitawala wenyewe sasa,hawahitaji huo muungano na Tanganyika pia hatuhitaji huo Muungano ksbb tuna uhakika unatunyonya kwa mambo mengi (nimesema kifupi).
Isitoshe Zanzibar mkiwaachie wajitawale wenyewe wangekuwa mbali sana kimaendeleo ksbb wasingekuwa tena na siasa hizi za bara za kipumbavu kuiba kura,kupitisha mtu kinguvu ambae hajachaguliwa na watu. Hayo mambo ya Jecha kufuta uchaguzi sijui,mmewafundisha nyie walafi wa madaraka kutoka bara