Tuunde, aisee hii ni idea nzuriTushukuru serikali hii ya wezi wa kura kwa kurudisha Tanganyika. Kwa msio jua Tanganyika ni jina la wasambaa. Kama kuna mtu anauza tshirt za Tanganyika nipeni link
Tushukuru serikali hii ya wezi wa kura kwa kurudisha Tanganyika. Kwa msio jua Tanganyika ni jina la wasambaa. Kama kuna mtu anauza tshirt za Tanganyika nipeni link
kula chuma hichoTuunde, aisee hii ni idea nzuri
ok.🐒Tushukuru serikali hii ya wezi wa kura kwa kurudisha Tanganyika. Kwa msio jua Tanganyika ni jina la wasambaa. Kama kuna mtu anauza tshirt za Tanganyika nipeni link
Hiyo Tanganyika yenu, sisi wa Obukama bwa Kiziba, hatumo na hatutaki kuwa ndani ya Tanganyika. Hatuna unasaba na watu Wasambaa wala Wagogo. Tunataka tujitenge!Tushukuru serikali hii ya wezi wa kura kwa kurudisha Tanganyika. Kwa msio jua Tanganyika ni jina la wasambaa. Kama kuna mtu anauza tshirt za Tanganyika nipeni link
Sio kesi, kila mtu ale alikopeleka mboga.Hiyo Tanganyika yenu, sisi wa Obukama bwa Kiziba, hatumo na hatutaki kuwa ndani ya Tanganyika. Hatuna unasaba na watu Wasambaa wala Wagogo. Tunataka tujitenge!
Tena huko CCM ukitaja neno Tanganyika wanakuuaIla Mimi Huwa nashangaa mtu anaogopa kuitaja Tanganyika ila Zanzibar anaitaja
Nini maana ya Tanganyika kwa kisambaa mkuu?Tushukuru serikali hii ya wezi wa kura kwa kurudisha Tanganyika. Kwa msio jua Tanganyika ni jina la wasambaa. Kama kuna mtu anauza tshirt za Tanganyika nipeni link
Tushukuru serikali hii ya wezi wa kura kwa kurudisha Tanganyika. Kwa msio jua Tanganyika ni jina la wasambaa. Kama kuna mtu anauza tshirt za Tanganyika nipeni link