Tanga: Wanawake walalamika kunyonywa maziwa na wanaume, watoto hawashibi

Sijaelewa hapa ,wanawake wanaonyonyesha ndio wanawapa mazimwa wanaume ,au mwanaume ananyonya maziwa Kama romance wakati wa kuzagamuwana ...

Kunyonya maziwa ya mwanamke anayenyonyesha ni ujinga ....ila Kama hanyonyeshi na hayatoki ni freshi kwani wengine nyege zipo hapo ...
 
Kabisaaa!

Huyo mwanaume anakaa pozi gani wakati ananyonya? Mtoto yuko wapi wakati huo?
Watu wana mambo.
 
Hata wakinyonywa K na tigo zao ni ruksa tu!!
Huyo DC kama hana kazi ya kufanya naye akamnyonye wa kwake.!!
 
Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto.

Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga wametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wao wa wilaya Mhe. Siriel Mchembe ambao pamoja na madai hayo, wamedai kuwa baadhi ya wanaume hao huenda mbali zaidi kwa kunyonya maziwa yao hasa wakati wa usiku.

DC Mchembe amekemea tabia hii ya wanaume na kuwaomba waache mara moja pamoja na kuwasihi wawapatie muda wa kupumzika wanawake ili watengeneze chakula cha kutoshea mahitaji ya watoto.

Chanzo: Clouds TV
🍆🍆🍆🍆🍆🍆
 
Du wanawake nao shida mambo ya ndani wanapeleka public, nao wanaume wanao nyonya maziwa ya wake zao ni zero brain
 
Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto.

Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga wametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wao wa wilaya Mhe. Siriel Mchembe ambao pamoja na madai hayo, wamedai kuwa baadhi ya wanaume hao huenda mbali zaidi kwa kunyonya maziwa yao hasa wakati wa usiku.

DC Mchembe amekemea tabia hii ya wanaume na kuwasihi waache mara moja pamoja na kuwaomba kuwapatia muda wa kupumzika wanawake ili watengeneze chakula cha kutosha cha watoto.

Chanzo: Clouds TV
Watenge muda au watenge ziwa.
 
Kabisaaa!

Huyo mwanaume anakaa pozi gani wakati ananyonya? Mtoto yuko wapi wakati huo?
Watu wana mambo.

Wengine mtoto ananyonya la kushoto yeye anachukua la kulia. Yale maziwa kwa hisia zangu yanahitaji moyo mgumu sana kuyanyonya.
 
Huo ni ujinga wa wanawake hao Kwanza wanatia aibu wanawake wengine. Hao wanawake Wana yao ya kuwanyonyesha wanaume. Saa zingine hao wa Tanga waache huo ujinga. Kwani unapomyonyesha mwanaume ni unabakwa au ni hiari Yako.
Kama wanalalamika ujue wananyonyesha bila hiyari.
 
Kuna mwanaume mwenzetu alikuwa anamzalisha mke wake kila mwaka. Iligundulika alikuwa anapenda kunyonya maziwa ya mke wake.
 
Back
Top Bottom