Ya kuimarisha mifupa itakua.Mnawapa maziwa ya nn Sasa?
🍆🍆🍆🍆🍆🍆Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto.
Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga wametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wao wa wilaya Mhe. Siriel Mchembe ambao pamoja na madai hayo, wamedai kuwa baadhi ya wanaume hao huenda mbali zaidi kwa kunyonya maziwa yao hasa wakati wa usiku.
DC Mchembe amekemea tabia hii ya wanaume na kuwaomba waache mara moja pamoja na kuwasihi wawapatie muda wa kupumzika wanawake ili watengeneze chakula cha kutoshea mahitaji ya watoto.
Chanzo: Clouds TV
Ndio ni matamu sana yana ka uchumvi kwambalinyie hivi ni kweli
Ni muhimu kwetu yana virutubisho vingi na ile ladha yake yenye chumvi chumvi kwa mbali halafu malainiKabisaaa!
Huyo mwanaume anakaa pozi gani wakati ananyonya? Mtoto yuko wapi wakati huo?
Watu wana mambo.
Watenge muda au watenge ziwa.Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto.
Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga wametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wao wa wilaya Mhe. Siriel Mchembe ambao pamoja na madai hayo, wamedai kuwa baadhi ya wanaume hao huenda mbali zaidi kwa kunyonya maziwa yao hasa wakati wa usiku.
DC Mchembe amekemea tabia hii ya wanaume na kuwasihi waache mara moja pamoja na kuwaomba kuwapatia muda wa kupumzika wanawake ili watengeneze chakula cha kutosha cha watoto.
Chanzo: Clouds TV
Kabisaaa!
Huyo mwanaume anakaa pozi gani wakati ananyonya? Mtoto yuko wapi wakati huo?
Watu wana mambo.
Kwahyo hoja haina mashiko mkuu.. mtoto kama ni utapia mlo apate tuu 😁 USIPANGIWEETunako elekea mpaka tutaanza kupangiana hata bao za kupiga
Kama wanalalamika ujue wananyonyesha bila hiyari.Huo ni ujinga wa wanawake hao Kwanza wanatia aibu wanawake wengine. Hao wanawake Wana yao ya kuwanyonyesha wanaume. Saa zingine hao wa Tanga waache huo ujinga. Kwani unapomyonyesha mwanaume ni unabakwa au ni hiari Yako.