Mwenye kusikia na asikie......mkuu usirudie mchezo huo ni hatari.
summary naomba.
Kweli kabisa babu tufanye utaratibu huo.
Ila wamekumbushwa tanga kuna karibu hakuna kwa heri though vitu vilivyomtokea mleta mada vinaweza kumtokea mtu yeyote na mahali popote.
acha uvivu wewe...
ndefu sana shem.
yaa ni kweli , maana jamaa kama ni vitani risasi imekwangua nywele next time usiache helmetkutokana na hii stori
nimejifunza kutokutumia kila fursa inayokuja
ila kupima kwanza side effects za fursa
Afadhali umentoa tongoMshomile anayeishi Tanga kwa sasa.