Umenifurahisha kuna kibao cha mtu huru cha kaka Mpoto! Bonus truck
so tuko wangapi siku hizi wewe haikuhusu?
mamboya one night stand ndo yanashabikiwa thiku hizi thatha wanapima saa ngapi brazaaaa
Weee! Alipima mara ngapi? Hainaga poo hii kitu labda apeleke damu ya mbuzi au kuku kama akilazimika kurudi mara ya pili! Madaktari wetu waliosoma enzi za migomo hawachelewi kukupa majibu ya mwenzio!Mkuu ulipima mara ngapi?
..... Kweli niliamini hata binti awe mpole vipi, mrembo vipi usimuamini kirahisi hivyo. Kuna mengi nyuma.........Nikakumbuka kiwanja changu nilichonunua miezi miwili iliyopita na kuwaza nyumba niliyotaka kujenga mwisho wa siku nitahitaji tu ukubwa wa futi sita chini na upana hata mita moja ungetosha kwa jinsi nitakavyokuwa nimekonda......
...Ila tukio lile lilinifanya niache uhuni. Leo nimepokea simu ya Aneth akinitaarifu kuwa anaumwa sana akidhani na mimi nimeathirika kama yeye....
Unajua mkuu, amenipa hofu kidogo aliposema alipima wakati wa maonesho tu, na hii kitu ina hatua zake. Moja wapo ya hatua hata ukipima unaweza usiione, sasa nilitaka kujua tu kama alirudia tena baada ya miezi mitatu.Weee! Alipima mara ngapi? Hainaga poo hii kitu labda apeleke damu ya mbuzi au kuku kama akilazimika kurudi mara ya pili! Madaktari wetu waliosoma enzi za migomo hawachelewi kukupa majibu ya mwenzio!
Halafuuu wewe ni Tanga ipi uijuayo? Pale opposite na Chichi club au La vida loca panaitwaje???