Tanga: Nauza paka weusi na weupe

Tanga: Nauza paka weusi na weupe

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Wakuu, ninafuga paka na sasa nimefikisha paka 765. Wana umri wa miezi 6 mpaka 8. Unaweza kumtuma popote pale na akakufanikishia kazi yako bila shida.

Nauza 20,000 kwa paka mmoja. Ukichukua zaidi ya 5 nakufanyia 15,000 ( discount ya 5,000).

Ninawafugia Korogwe Tanga. Na ninaweza kutuma pia popote pale, ndani na nje ya nchi.

Karibuni sana.
 
Paka deal kweli kuna watu wanataka paka sijui mweupe asiwe hata na dowa!awe na manyonya mengi
Pesa yake inakuwaga nzuri kuna waturuki walikuwaga kibaha walitoa deal na offer yao ilikuwa bab k basi wacha watu waende mbio

Ova
 
Paka 700+, hivi unawalisha nini hao wote? 😂 Alafu mbone paka watu vile, wanafanya delivery kabisa??? 😂 😂😂
 
Nazani Simba Sports club wakisikia hii habari utapata wateja fastaaa!! Tena mapaka meusi ndo mazuri kwa kazi yao.[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125]
 
Jana alichelewa,
Angetangaza wiki iliyopita uongozi wa timu ya simba ungekuja na fuso kuwachukua wote.
 
Wakuu, ninafuga paka na sasa nimefikisha paka 765. Wana umri wa miezi 6 mpaka 8. Unaweza kumtuma popote pale na akakufanikishia kazi yako bila shida.

Nauza 20,000 kwa paka mmoja. Ukichukua zaidi ya 5 nakufanyia 15,000 ( discount ya 5,000).

Ninawafugia Korogwe Tanga. Na ninaweza kutuma pia popote pale, ndani na nje ya nchi.

Karibuni sana.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Tuma picha napenda paka
 
Back
Top Bottom