ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,805
- 60,657
Tea
🤣🤣🤣Tunaomba picha za hao Paka 700!
😂 dah, paka 700 siyo mchezo aise!
Fikiria panya akatize hizo anga 😂😂
Mtafute Mohamed DewjiWakuu, ninafuga paka na sasa nimefikisha paka 765. Wana umri wa miezi 6 mpaka 8. Unaweza kumtuma popote pale na akakufanikishia kazi yako bila shida.
Nauza 20,000 kwa paka mmoja. Ukichukua zaidi ya 5 nakufanyia 15,000 ( discount ya 5,000).
Ninawafugia Korogwe Tanga. Na ninaweza kutuma pia popote pale, ndani na nje ya nchi.
Karibuni sana.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app