The Hurricane
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 760
- 1,049
Nmefika sahare kwa baba ubaya nlikaa kwa siku kadhaa pia nmelala town hapo Mara kibao nmeenda Raskazoni piaUmefika mtaa gani.. Na mtaa gani?
Nmefika sahare kwa baba ubaya nlikaa kwa siku kadhaa pia nmelala town hapo Mara kibao nmeenda Raskazoni piaUmefika mtaa gani.. Na mtaa gani?
Dah mkuu kuhusu kilomita mi najuaje sasaHebu Nieleze kuanzia Raskazone mpaka Kange ni km ngapi?
Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....
Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...
Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)
.....
Nina week ya pili sasa na kila baada ya siku tatu mtaani kwetu kunafungwa spika kubwa Sana kusherehekea Harusi... pamoja na maisha kua magumu Sana Vijana wapo fasta Sana kwenye kuoa na kuacha nimeambia ya kwamba ikikarabia mwezi mtukufu Harusi zinakua nying Sana na talaka zinakua nying mwezi mmoja baada ya mwezi mtukufu
#tangajiji#
Acha kutetea upuuzii..mkoa wenu unazid kudidimia wakat kuna mikoa Kama...... Iringa.. singida... morogoro....NK.... wadigo.. wabondei... Tanga sio jiji CCM wamewadanganya Sana Kimapato Tanga mnazidiwa na Mafinga....
Tanga ilikaa vizuri sana. Kufa kwa zao la mkonge kulileta majanga. Hata hivyo wenyeji wanafikiria kuuza sura ni kazi iliyo rasimishwaBadala yake, Dodoma ni mkoa unaokuja kwa kasi sana... There is a massive, massive govt support for the region...
Mkuu lengo la mleta mada ni kututaarifu tu kua alikua masomoni Nairobi for 18 yrs,analeta malalamiko ya kufa kwa mji wa Tanga bila kua na figure au fact za kufanyia comparison ya 1999 na 2017,hawa ndio wale wakibahatika kutoka kidogo tu huanza kudharau kwao,Umekaa wiki mbili tena umeishia huko uswahili a.k.a barabara za namba, halafu unakuja na jibu lako kama hilo? Acha kuwadanganya watu.
Mji umekufa lakini watu wanaishi na idadi yao inaongezeka kila siku.
Usafiri umeongezeka, mabasi yanaongeza ruti na ndege zimeongezeka pamoja na meli halafu unasema mji unakufa.
Viwanda vipya vya saruji (Sungura na Rhino) vimefunguliwa huku wachina wakitarajia kujenga kiwanda kikubwa cha saruji kuliko vyote ukanda wa Afrika Mashariki halafu unasema mji umekufa?
Site mpya za Mwahako, Neema, Kange, Kasera, Pongwe mpaka Machui umezitembelea? Kama huko ni mbali shuka kidogo na Karume road ukianzia Duga mwembeni mpaka Tanga Beach Resort uone makao mapya.
Nyumba chache za makuti zilizobakia hapo utakuta wengi wa wamiliki walishakufa na walioachiwa urithi wana migogoro nazo. Hata hvyo ujenzi wa makuti ni utamaduni lakini sio kiashiria cha umaskini.
Watu kukaa barazani kwenye mikeka wakicheza bao na kunywa kahawa sio kama hawana kazi, hapo wamebarizi baada ya kazi au wakisubiri waingie kazini jioni au usiku kwa wale wavuvi.
Ukumbuke wengi wa wanamji ni waislamu hivyo huwezi kuwakuta baa au vilabuni wao hukaa vibarazani mwao.
Fanya utafiti wako kisomi kisha uje tena.
Wewe mambo mengi Inaonyesha umeambiwa.Huijui Tanga vizuri,,,nakushauri kaa fanya utafiti vizuri mwenyewe utajua ukweli.Nina week ya pili sasa na kila baada ya week mtaani kwetu kunafungwa spika kubwa Sana kusherehekea Harusi... pamoja na maisha kua magumu Sana Vijana wanao na kuacha nimeambia ya kwamba ikikarabia mwezi mtukufu Harusi zinakua nying Sana na talaka zinakua nying mwezi mmoja baada ya mwezi mtukufu
Sasa uli-judge kwamba Tanga ni ndogo wakati hata urefu wake hujui.... Msipende kuropoka mnajidharaulisha mbele za watu.Dah mkuu kuhusu kilomita mi najuaje sasa
Sasa wewe umeenda kasehemu kadogo ka TANGA halafu unajifanya unaijua Tanga.Nmefika sahare kwa baba ubaya nlikaa kwa siku kadhaa pia nmelala town hapo Mara kibao nmeenda Raskazoni pia
Itabid tuanzishe uzi wetu aiseeee kumbe tupo wengi hivi tanga oyeeeeeee kwa hisan ya cocoa chanelUkhuty kumbe ni wa kwetu? Pande zipi
Mwamvie huyoYou aren't serious at all [emoji15] heading inazungumzia Mkoa alafu content Jiji [emoji848] huwezi kuona mazuri ya tanga in two weeks jipe muda usiwe na papara. Vigodoro ndio tamaduni yetu tunakula bhata Kwa gharama nafuu, kuoa na kuachika maarufu kama chuo/vyuo ni matumizi sahihi ya uhuru wa mtu kumbuka mke/mume siyo baba wala mama yako kama unabisha rejea mahusiano ya wazungu.
Tanga ya leo;
1. Kampuni 3 za ndege zinazofanya safari zake kila siku.
2. Meli kubwa ya abiria na mizigo tanga-pemba hadi unguja
3. Treni ya mizigo inapiga kazi
4. Mabasi ya maana kibao
5. Uzalishaji wa mkonge umeongezeka 50 times as compared to 1999
6. Uzalishaji wa Korosho, iliki, mdalasini, karafuu umeongezeka 100 times
7. Viwanda vipya na vikubwa kibao
8. Hoteli za kisasa kibao
9. Bomba la gesi na mafuta on the way
10. Sekta ya nyumba na makazi ndio usiseme
We jamaa naona unataka league anyways bas Tanga in kubwa kama NYSasa uli-judge kwamba Tanga ni ndogo wakati hata urefu wake hujui.... Msipende kuropoka mnajidharaulisha mbele za watu.
Karibu ten tangaWe jamaa naona unataka league anyways bas Tanga in kubwa kama NY
Hahaaaa. Huo mchezo unaitwa Keram.Toka nimefika wanacheza Draft... na ule mchezo mwengine sijui unaitwaje ambao wachezaji wao wanapka powder vidoleni huku wamepakatia ubao wao
Wewe naona umejitune kuiweka tanga katika kundi unalotaka. Hii ni dhahiri kuwa uelewa ni mdogo hivyo hata ukipewa viashiria ambavyo hukuvijua bado utabisha tuAcha kutetea upuuzii..mkoa wenu unazid kudidimia wakat kuna mikoa Kama...... Iringa.. singida... morogoro....NK.... wadigo.. wabondei... Tanga sio jiji CCM wamewadanganya Sana Kimapato Tanga mnazidiwa na Mafinga....
Aliyeleta mada ni mwepesi sana kichwani haina haja ya kutumia nguvu.Mji wa amani mnataka kutuletea balaa tu. Ukipita barabarani vitafunwa teleee, bagia, maandazi, kaimati, vibibi, mikate ya kumimina, kachori. Alafu useme watu wake masikini, duuuu huu ni ujinga sasa.
Watu wamekariri ukiwaambia tanga ipo top 5 kiuchumi nchini hawaelewi.Hawa Wanaropoka ropoka.... Sasa hebu tumuulize mtoa mada ameona Tanga hapo... Wacheni mambo ya kibwege asubuhi asubuhi.
Kwani shida ni nini? Huoni kuna fursa ndio maana wageni wamevamia? Hakuna mji unaojengwa na wenyejiHuko kange wamejenga wagen, hamna mswahili uko
Mkuu aliyeleta hoja ni mwepesi sana kichwani hivyo watu kama nyie kumjibu inabidi kuwa mvumilivu sana.Sababu umekaa Nairobi kwa miaka yote hiyo huenda ki- saikolojia ulitegemea kuikuta Tanga ikiwa na viwango sawa na Nairobi. Lakini endapo ungekuwa mhalisia, hali ya kimaendeleo ktk jiji la Tanga ni tofauti sana kuanzia miaka hiyo ya 1999 mpaka leo. Wengine humu wanachangia kwa mzaha eti hata kuilinganisha Tanga na Iringa au Dodoma, Ok, kwanza tunapaswa kujua kuwa Tanga ndio mji wa kwanza nchini kupata hadhi ya Municipal baada ya Dar, mji huu ndio unaomiliki bandari ya pili kwa ukubwa yenye world wide linkage hapa nchini, ktk jiji hili kuna viwanda vya saruji viwili Rhino na Tanga cement ambacho ni moja kati viwanda competent ktk Afrka mashariki, jiji la Tanga linamiliki viwanda zaidi ya vitatu vya chokaa vikubwa hapa nchini, hapa jijini Tanga kuna kiwanda mashuhuri nchini cha kuchakata maziwa Tanga Fresh na vilevile kiwanda cha packages na vyakula cha Pembe,PPTL, na IPTL Kiwanda kikubwa cha Vipodozi ambavyo vina supply products zake nchi nzima sasa hapa nimekutajia large scale Industries na sijagusia medium scale na utitiri ktk small scale, vyote vinachangia uchumi wa jiji na pato la Taifa. Potentially ktk jiji hili kunajengwa bandari nyingine kubwa Mwambani ambayo Itakuwa ACCESS mbadala ya bandari ya Dar kwa Uganda. Nihitimishe kwa kuwakumbisha wale waliothubutu kilinganisha Tanga na Iringa kuwa kuna mmoja kati ya miradi mikubwa sana wa Pipeline toka Uganda ambao ume- attract attention ya wachumi kimataifa ukikamilika Tanga itakuwa moja kati ya vyungu vikuu vya uchumi wa Taifa. Ok, come out of the nutshell and urge as great thinker If you are a really One.