Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....
Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...
Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)
.....
Nina week ya pili sasa na kila baada ya siku tatu mtaani kwetu kunafungwa spika kubwa Sana kusherehekea Harusi... pamoja na maisha kua magumu Sana Vijana wapo fasta Sana kwenye kuoa na kuacha nimeambia ya kwamba ikikarabia mwezi mtukufu Harusi zinakua nying Sana na talaka zinakua nying mwezi mmoja baada ya mwezi mtukufu
#tangajiji#