Tanga; Mkoa uliokufa

Tanga; Mkoa uliokufa

What was ur initial investment and the value todate

Nimekujibu koz at least you deserve it.... Mkuu imagine you have left a place after 18 years unarudi unakuta nyumba za makuti in the middle of the town

Unakuta nyumba zimekatiwa umeme barabara 13 na14 kweli miaka hii watu wanashindwa kuendelea.....
 
What was ur initial investment and the value todate

Before its worth was at around one billion with my expectation but now..... nikipata million Mia 8 nakuachia but am yet to surrender them
 
Relax. Tanga ni utamaduni wa makuti. Thats why kule sahare na kwanjeka ni majirani lakn the difference is clear. Kwanjeka ni cultural na sahare ni modern but b4 zilikuwa sawa na wanaoishi share sio watanga ni immigrants wenye tanga beach resort nk... kwa hiyo pin it up.
 
Acha kutetea upuuzii..mkoa wenu unazid kudidimia wakat kuna mikoa Kama...... Iringa.. singida... morogoro....NK.... wadigo.. wabondei... Tanga sio jiji CCM wamewadanganya Sana Kimapato Tanga mnazidiwa na Mafinga....
 
Wenyeji hawajachangamka kibiashara ni wavivu sana wakipata chakula bas hawawaz maendeleo bt tanga ni mkoa uliojaliwa bas tu hawatumii fursa
 
Kweli kaka... Tanga ilikuwepo kabla ya uhuru lakini leo hii wakaz wao wanaish Kama vile Tanga ni almashauri
 
Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....

Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...

Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)

.....

Problem ya Tanga ukiweka bati wanakupiga zongo eti unawazidi...[emoji23] unajikuta unageuka kuwa paka kisa bati! Who wants that
 
Nenda kibera ujionee ndio uende Tanga uanze kuwadiss! Rest assured bomba la mafuta likiisha Tanga itakua mji wa tofauti sana zaidi ya Beira.
 
Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....

Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...

Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)

.....
Tanga pa kuoa tu sio pa maendeleo.waja Leo warudi Leo.sio pa kuishi yahe
 
Kwa mji wa Tanga,ninavyoukumbuka barabara 20,sio mjini,mjini ni kuanzia Barabara 14 kuelekea posta mpaka raskazone.Na kuna aliyenieleza kuna Kange uzunguni na Tanga beach,maeneo hayo ndio Tanga mpya.Maeneo hayo kuna nyumba za uhakika na mitaa ya kisasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom