Tanga; Mkoa uliokufa

Tanga; Mkoa uliokufa

Hakuna kitu Kange. Walidhani stand mpya italeta mabadiliko, hakuna kitu. angalia yale maframe ya maduka kibao hakuna wa kuyapanga!

Tena kuhusu stand ya Kange ndo Aibu tupu... stand ipo porin kiasa ya kwamba ikifika saa kum na mbili Jioni Hakuna Basi linaloingia ktuoni na mabasi yote kutumia stand ya zamani.....
 
Tena kuhusu stand ya Kange ndo Aibu tupu... stand ipo porin kiasa ya kwamba ikifika saa kum na mbili Jioni Hakuna Basi linaloingia ktuoni na mabasi yote kutumia stand ya zamani.....
Sure! Kanga hata hivyo bado umiliki wa pale haujakaa sawa. Kuna mgogoro mkubwa hapo hivyo wenye akili hawajengi , wamesimama. Mji hautanuki hata, labda Kange uzunguni, kuna wageni/wakuja wengi. lakini penye wenyeji hamna kitu. angalia mbugani kange, kwaramsingi hovyo wamaitana wadigo, wasambaa, hovyo wanajenga vijumba vya nyasi na matope! just visit those areas!
 
Inaitwa Jiji alafu unalalama una didimia?!kweli haujui vigezo vya kuwa JIji.!
 
Haa kuumbe wapo nyuma kiuchumi wakati uchumi wanao,nasikia tanga ndio mapenzi yalizaliwa huko,sasa huo ufundi wao badala wautumie kuteka wafanyabiashara wakubwa wakubwa wenyewe wanadaka vidagaa vidogo visivyo na hela aisee
Dah. ..Tanga fix tupu..... Kinachosemwa na kilichokuwepo ni mbinu na ardhi[emoji13] [emoji13]
 
Magomeni - Raskazone
Mikanjuni - Raskazone
Donge - Raskazone
T/Beach - Raskazone
Nguvumali - Raskazone
Mwahako - Raskazone
Masiwani - Raskazone
Sahare - Raskazone

Mungu Ibariki Tanga.
 
Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....

Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...

Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)

.....
Utamaduni wao nyumba za bati na vigae Joto wanasema.. Waacheni wenyewe wameridhika.. Chukulia mombo na Korogwe.wapi palipaswa Kuwa na maendeleo makumbwa. Jibu mambo ila kwakuwa wabaguzi wachagga wananunua Korogwe na kupaendeleza sana
 
Ecknerforde Tanga University
Utumishi
St. Augustine muheza
Bumbuli COTC
Chuo cha tafiti za mimea
 
Tanga Beach Resort
Mkonge Hotel
Inn by the sea
Serena Hotel
Nyumbani Hotel
Tanga Yatch Club
Panori Hotel
CBA hotel
Nyinda Classic Hotel
New Kwetu Hotel
Regal Naivera Hotel
New Raskazone Hotel
Hotel Pope John II
Lulu Image Hotel
Peponi Beach Resort
White Corner classic hotel
Mtendele Hotel
Pampona Inn
Dolphine Hotel
Alabama Inn
Dakau Investment
Khairaat (asad) hotel
Sea side Hotel
Motel Sea View
Ocean Breeze Hotel
 
Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....

Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...

Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)

.....
Umemaliza masomo na kurudi Tanga,bila shaka utaonyesha mfano mzuri wa kuijenga Tanga kuliko kusubiri "fulani atajenga" kua mfano "inspiration" wengine watafuata tu,

Be the change that u wish to see there.
 
Let's say nafungua Biashara... hv watu wanaoshinda wakicheza Draft na karata huku wanashushia na Kahawa do they have the economy power....?
 
Nina week ya pili sasa na kila baada ya week mtaani kwetu kunafungwa spika kubwa Sana kusherehekea Harusi... pamoja na maisha kua magumu Sana Vijana wanao na kuacha nimeambia ya kwamba ikikarabia mwezi mtukufu Harusi zinakua nying Sana na talaka zinakua nying mwezi mmoja baada ya mwezi mtukufu
 
Kwa mji wa Tanga,ninavyoukumbuka barabara 20,sio mjini,mjini ni kuanzia Barabara 14 kuelekea posta mpaka raskazone.Na kuna aliyenieleza kuna Kange uzunguni na Tanga beach,maeneo hayo ndio Tanga mpya.Maeneo hayo kuna nyumba za uhakika na mitaa ya kisasa.
Huyo mleta mada haijui Tanga
 
Let's say nafungua Biashara... hv watu wanaoshinda wakicheza Draft na karata huku wanashushia na Kahawa do they have the economy power....?
Ina maana hapo Tanga hakuna biashara? watu wanaishije sasa? Kwahiyo huna solution yeyote ya kuuokoa mkoa wako pamoja na kua masomoni for 18 yrs?
 
Nina week ya pili sasa na kila baada ya week mtaani kwetu kunafungwa spika kubwa Sana kusherehekea Harusi... pamoja na maisha kua magumu Sana Vijana wanao na kuacha nimeambia ya kwamba ikikarabia mwezi mtukufu Harusi zinakua nying Sana na talaka zinakua nying mwezi mmoja baada ya mwezi mtukufu
Hizo week mbili umefanya jambo gani la maana la kusaidia uchumi wa Tanga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom