dangadunguri
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,276
- 1,310
Tanga sio mkoa wakutafuta pesa, ni mkoa wa matanuzi na mapochopocho. Hushangai hoteli zakitalii kujengwa kwa makuti unashangaa kikuta nyumba za makuti barabara 20. Huko Kenya ulienda kusomea kujenga magorofa.Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....
Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...
Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)
.....
Ulishawahi kusikia tanga kumejengwa ghala la chakula cha msaada watu wake wanakufa njaa? Au wakazi wa tanga wanakula viwavi jeshi kwa njaa?
Tafuta pesa Nairobi uje utumie tanga zikiisha panda Tawakal rudi kazitafute tena.