Tanga; Mkoa uliokufa

Tanga; Mkoa uliokufa

Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....

Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...

Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)

.....
Barabara ya ishirini mbona mbali mkuu, nenda Mabanda ya papa uone.
 
Jiulize kama we ni mwenyeji miaka 18 nyuma Kange palikuwaje? Nhumu. Sana kuendeleza seheemu iliyo endelea tayali. Jiji la Tanga Lima tanuka sana.Hari ya kiuchumi ya mkoa ndo tatizo
kiukweli sikuwahi kufika Tanga miaka ya nyuma nlikuwa naskia panasifiwa tu luckily mwaka huu nikafanikiwa kufika ni mji mdogo sana population pia sio kubwa afu mpaka zile nyumba pembezoni mwa barabara kuu watu wanaishi as in kwenye miji mingine ni za biashara. .Nlipenda vitu viwili kuhusu Tanga,watu wake wakarimu na vyakula
 
Tanga haijafa nimekaa Tanga mwaka 1994 kikazi na nimerudi 2013 Tanga imepiga hatua sana tu

Issue ya Tanga ni viwanda vingi kufa kama cha sabuni,cha mbolea n.k ndiyo kilio cha wana tanga na pia Reli ya kati ya kaskazini kutofanya kazi.

Tanga miaka huyo daladala zao ilikuwa ni baiskeli za kukodi lakini Leo daladala kila mahali.

Majengo marefu ya ghorofa hapo Tanga zamani ilikuwa hakuna.
 
kiukweli sikuwahi kufika Tanga miaka ya nyuma nlikuwa naskia panasifiwa tu luckily mwaka huu nikafanikiwa kufika ni mji mdogo sana population pia sio kubwa afu mpaka zile nyumba pembezoni mwa barabara kuu watu wanaishi as in kwenye miji mingine ni za biashara. .Nlipenda vitu viwili kuhusu Tanga,watu wake wakarimu na vyakula
Umefika mtaa gani.. Na mtaa gani?
 
kiukweli sikuwahi kufika Tanga miaka ya nyuma nlikuwa naskia panasifiwa tu luckily mwaka huu nikafanikiwa kufika ni mji mdogo sana population pia sio kubwa afu mpaka zile nyumba pembezoni mwa barabara kuu watu wanaishi as in kwenye miji mingine ni za biashara. .Nlipenda vitu viwili kuhusu Tanga,watu wake wakarimu na vyakula
Hebu Nieleze kuanzia Raskazone mpaka Kange ni km ngapi?
 
Hivi unailinganisha Tanga Na Mji upi hadi useme umekufa?? Dodoma?? Shinyanga? Mbeya? Moro? Singida? Arusha? Tabora? Kati ya miji hiyo yote Ni mbeya tu Na Arusha wanaoweza kuthubutu kuibeza Tanga!!
 
Haa kuumbe wapo nyuma kiuchumi wakati uchumi wanao,nasikia tanga ndio mapenzi yalizaliwa huko,sasa huo ufundi wao badala wautumie kuteka wafanyabiashara wakubwa wakubwa wenyewe wanadaka vidagaa vidogo visivyo na hela aisee
Huo mchezo unaupeda sana eti !!
 
Tatizo kubwa la jiji la Tanga ni uchumi wake kushikiliwa na waarabu na wahindi. Hawa ndio walioishija Tanga kiuchumi na wengi wao wana uraia was zaidi ya moja hivyo pesa wanazozichuma Tanga hawawekezi Tanga bali uzipeleka kwenye nchi zao za asili (uarabuni, Canada, India n.k) hii ni tofauti na mikoa mingine kama Mbeya, Iringa n.k, ambapo uchumi wa mikoa hiyo umeshikiliwa na wazawa na wanawekeza humo. Mabasi karibia yote yanayofanya safari za kutoka Tanga kwenda mikoa mingine k.m Dsm, Arusha n.k yanamilikiwa na waarabu, hivyo uchumi waTanga utazidi kudidimia na kupitwa na mikoa mingine Kama wazawa (wadigo, wasambaa n.k) hawataacha uvivu na kuamua kufanya kazi kwami mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe na si kutegemea wageni.
Atleast we nmekuelewa coz ktk maelezo yako umejaribu kueleza chanzo cha tatizo big up brouh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom