Makolola raha![]()
ukienda macho juu juu aurudi, wenyewe wanakwambia tanga raha.![]()
Tanga n' dunia mama Ile roast ya naz aiseee lazma vidole viwe kwwnye Wakat mgumuWewe acha usinikumbushe kabisa kitoswe kwenye shata la nazi utajing,at vidole
Ww acha tu upatiwe chapati na mbaazi za kukata unapaonaje hapo bonnyTanga n' dunia mama Ile roast ya naz aiseee lazma vidole viwe kwwnye Wakat mgumu
Tanga n' dunia mama Ile roast ya naz aiseee lazma vidole viwe kwwnye Wakat mgumu
Sio kila kitu, umenitumia pesa nikakataa?YAAN wewe kila kitu hutak
Ha ha ha haha wewe subir tu kukaa na daslam yako kila siku tanga ndio utaikuta hyo kituHivi kuroast ndio kufanyaje? Maana umeongelea roast na nazi!!!
Ushawah kuombwa namba ya kutumiwa pesa ukakubalSio kila kitu, umenitumia pesa nikakataa?
Daslam napasikia tu mwenzio.Ha ha ha haha wewe subir tu kukaa na daslam yako kila siku tanga ndio utaikuta hyo kitu
Ndio, benki gani?Ushawah kuombwa namba ya kutumiwa pesa ukakubal
BAS hunifai hata bureDaslam napasikia tu mwenzio.
Ndio utaje bank yako sa hv ili tukuwekeeeNdio, benki gani?
Nikufae tena!!BAS hunifai hata bure
Mtumie dota atanifikishia.Ndio utaje bank yako sa hv ili tukuwekeee
Bora yesheeee kama vp twende tanga tuNikufae tena!!
Ha ha ha ha umeamin sasa jins ulivyoMtumie dota atanifikishia.
Tanga siendi, sipapendi.Bora yesheeee kama vp twende tanga tu
Nikoje mkwe? We mtumie dota itanifikia tu.Ha ha ha ha umeamin sasa jins ulivyo
Ha hanha hyo arusha me na wewe au na mwanao atakuepoTanga siendi, sipapendi.
Twende Arusha.
Nikoje mkwe? We mtumie dota itanifikia tu.