Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,242
Twende Tanga.Marahabaaaaa!
Twende Tanga.Marahabaaaaa!
Sivijui, ndio vinini hivyo?Tukupeleke ukale vibib unavijua
Sasa hapo ndio twende tanga utavijua kipind sie tuko member Tigo na Daby wewe unakula vibibSivijui, ndio vinini hivyo?
Tukafanye nini?Twende Tanga.
Ukafundishwe kuvaa Shanga..na kumkanda mume sio ukishika kiuno cha mwanaume unakamia kama kaa au ngwena wa mtoni.Tukafanye nini?
Akuuu!! Yaani kula tu ndio kunipeleke huko!! Nendeni mtaniletea hivyo vibabu sijui vibibi.Sasa hapo ndio twende tanga utavijua kipind sie tuko member Tigo na Daby wewe unakula vibib
Bibi alishanifundisha.Ukafundishwe kuvaa Shanga..na kumkanda mume sio ukishika kiuno cha mwanaume unakamia kama kaa au ngwena wa mtoni.
Kwa ubish tu uko vizurAkuuu!! Yaani kula tu ndio kunipeleke huko!! Nendeni mtaniletea hivyo vibabu sijui vibibi.
Kumbe!Bibi alishanifundisha.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwa ubish tu uko vizur
Ndio.Kumbe!
Kwa hiyo sasa unakizungusha kama feni eeh!Ndio.
Kiligoma kuzunguka, nikakiacha.Kwa hiyo sasa unakizungusha kama feni eeh!
bashite akiletwa huku atachanganyikiwa atahonga hadi gari ya serikali
Mlifikaje huku.mtatuotesha bhana... wengine wanafunzi humu mnatufundisha tabia mbaya..!!!
Loooh umenikumbusha ngoja leo nivipike chezea tanga weyeeTukupeleke ukale vibib unavijua
Yeah nafahamOfisi ya tigo mjini unajua ilipo?
YAAN wewe kila kitu hutakAkuuu, sitaki.