[Tanga ya Tajiri]
Senior Member
- Aug 30, 2015
- 183
- 49
Hongera ShemejiMtumeee,tanga ndiko niliko chukua jiko kitu cha kidigo jamani nafaidi raha ya dunia kila idara ipo deko, mahabati,mapishi ndio kwenyewe Shekhe Uzi huu umenikuna Maji ya kuoga yananakshiwa jamani tanga tanga uuwiiiii tanga mambo safi sasa kwa manukato hapo mkuu ndio penyewe hadi sehemu zileee.....acha mchezo ama kweli tanga kunani
.
Mmmh wacha weeRaisi wa Kenya Jomo Kenyata ashapikiwa viandazi vya shira viandazi vidogodogo vyenye sukari ila vitamu sana ukila mdomo unafanya kububujika mate. Alivyomaliza Kenyata akasema naombeni mbegu za huu Mtunda nikaupande Kenya. Watu walibaki kucheka tu wakamwambia mzee hii ni Tanga.
Tutake radhi mkuu, huo ni uchochezi ulotukukaAaah
Tangaaa
Ndio maana viwanda vilikufa
Inaonekana watu walikuwa hawendi kazin kabsa
HahahahaTutake radhi mkuu, huo ni uchochezi ulotukuka
Karibu TangaHahahaha
Nawapenda sana watu wa Tanga
Hahahah hapo ndo walikuwa wanaharibu sasaKwenda kazini walikuwa wanaenda. Shida ni kwamba haya mambo walikuwa wanafanya hata huko kazini.
Teh teh tehHahaha
Una nikarbisha akat usha chukuliwa!!?
Stak
HahahaTeh teh teh
Kwani niko peke angu jamani, wapo wengi warembo
Wakati wako ukifika wala hutayakumbuka hayo.Hahaha
Wacha nikae bachelor material kama zako kupata ni kazi sana
Kishata ya maharage [emoji118] [emoji15] [emoji15] ndo ikoje hiyo bwasheeeMkuu Uzi huu tupia kila siku humu tuchangie umenikuna haki ya mungu jamani tanga mapenzi yalishukia pale hata mwanaume uwe mkatili VP pale lazima uwe mpoleee kimsingi wanajua MAHABATI mnoooo usiambiwe mkuu "ushapikiwa kshata ya maharage" acha kabsa.
Umeona eeee .... yaan kule michanganyo tuMtoto kachanganya Unyamwezi ,Usomali, Manga ,jikoni mapishi anajua karanga ....
Wacha tu tukae huku maana huko kwenye siasa ni stress tu
aise huo mkao duuuu mpaka nimeshindwa kushangaa teh teh teh
Eti hapo ajiandaa na mtihani wa "end of the semester"