Tanga... jamani nasema Tangaaa

Tanga... jamani nasema Tangaaa

33021fd6fe7b5252d81b735fcefdc098.jpg
Dah... Hii mbona kawaida sana...unaweza kupata hata buku 50 haifiki
 
Ndio mambo ya tanga hayo.....
Wakalishwa kwenye kigoda korodani zawekewa kisosi zisiguse chini alafu zapakwa asali tayari kurambwa.
Aisee Tanga kuna mambo
Tanga rahaaa
Hahaaaaa kweli raha, lkn inabidi uwe na pesa mkuu
 
Wala pesi sio kigezo kivile mkuu..
Ni mapenzi mubashara....
Inabidi na wewe ujue kupiga show
Sawa mkuu lkn ukiwa na pesa yana noga zaidi kwasababu kila unachotaka ili kunogesha mapenzi unakipata
 
Numbisa kwa posts zake kama siyo mtu wa Ta bas mzaramo.
Naomba achangie hapa
 
Tanga sio mchezo wazee. Unakuta nyumba ya udongo ukiiangalia kwa nje utaona kama gofu ingia ndani sasa. Nakwambia hiyo Serena Hotel iko nyuma jinsi ndani palivyopambwa na kupendeza.
Hahaaaa watu mnamaneno jamaniii!!!! Khaaaa
 
Kuna seminar moja tulienda team ya watu 14, seminar iliisha Ijumaa, mpk Jumanne watu 8 tuliokuwa nao Tanga walikuwa bado kuripot ofisini.
Raisi wa Kenya Jomo Kenyata ashapikiwa viandazi vya shira viandazi vidogodogo vyenye sukari ila vitamu sana ukila mdomo unafanya kububujika mate. Alivyomaliza Kenyata akasema naombeni mbegu za huu Mtunda nikaupande Kenya. Watu walibaki kucheka tu wakamwambia mzee hii ni Tanga.
 
Raisi wa Kenya Jomo Kenyata ashapikiwa viandazi vya shira viandazi vidogodogo vyenye sukari ila vitamu sana ukila mdomo unafanya kububujika mate. Alivyomaliza Kenyata akasema naombeni mbegu za huu Mtunda nikaupande Kenya. Watu walibaki kucheka tu wakamwambia mzee hii ni Tanga.
Mkuu inaonekana Tanga unaijua sana, hebu tupe mambo zaidi
 
Nimekula sana waarabu wa korogwe tanga jamani..
 
Kuna Mwalafyale alileta mchele wa biashara, katika kutafuta wateja na soko akutana na mambo hayo hapo juu, licha ya hivyo akitoka kwenye mihangaiko anakuta mahanjumati kwenye sahani vimefunikwa kwa kawa. Baba wa watu ameuza ule mchele akaanza kumega faida, mwisho mtaji, mwisho pesa imekwisha akatafuta kibarua. Imepita miaka mitatu nduguzake wanakuja kumtafuta, wanamkuta na balghashia anatoka na Tasbih.
Hahahahahah huo uongo bhna
 
Back
Top Bottom