TANGA: KITOVU KIPYA CHA NISHATI

TANGA: KITOVU KIPYA CHA NISHATI

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
638
Reaction score
572
Chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, uwekezaji wa takribani USD bilioni 20 unaiweka Tanga katika nafasi muhimu ya kuwa kitovu cha nishati, ukifungua fursa za ajira, kukuza biashara na viwanda, kuongeza mapato ya taifa na kuimarisha zaidi Bandari ya Tanga.
IMG-20260901-WA0031.jpg
 
Chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, uwekezaji wa takribani USD bilioni 20 unaiweka Tanga katika nafasi muhimu ya kuwa kitovu cha nishati, ukifungua fursa za ajira, kukuza biashara na viwanda, kuongeza mapato ya taifa na kuimarisha zaidi Bandari ya Tanga.View attachment 3661238
Ndo maana mama yako anakutuma Uganda
 
Back
Top Bottom