Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 239
Kwenda kazini walikuwa wanaenda. Shida ni kwamba haya mambo walikuwa wanafanya hata huko kazini.Aaah
Tangaaa
Ndio maana viwanda vilikufa
Inaonekana watu walikuwa hawendi kazin kabsa
HahahahaKwenda kazini walikuwa wanaenda. Shida ni kwamba haya mambo walikuwa wanafanya hata huko kazini.
Nimecheka mpaka nimejishtukia hapa kwa MWENDOKASI, na kupaliwa nimepaliwa!Kuna Mwalafyale alileta mchele wa biashara, katika kutafuta wateja na soko akutana na mambo hayo hapo juu, licha ya hivyo akitoka kwenye mihangaiko anakuta mahanjumati kwenye sahani vimefunikwa kwa kawa. Baba wa watu ameuza umchele akaanza kumega faida, mwisho mtaji, mwisho pesa imekwisha akatafuta kibarua. Imepita miaka mitatu nduguzake wanakuja kumtafuta, wanamkuta na balghashia anatoka na tasbii.
..... eti wamemkuta na baraghashia na anatoka na Tasbih...Kuna Mwalafyale alileta mchele wa biashara, katika kutafuta wateja na soko akutana na mambo hayo hapo juu, licha ya hivyo akitoka kwenye mihangaiko anakuta mahanjumati kwenye sahani vimefunikwa kwa kawa. Baba wa watu ameuza umchele akaanza kumega faida, mwisho mtaji, mwisho pesa imekwisha akatafuta kibarua. Imepita miaka mitatu nduguzake wanakuja kumtafuta, wanamkuta na balghashia anatoka na tasbii.
HahahAaah
Tangaaa
Ndio maana viwanda vilikufa
Inaonekana watu walikuwa hawendi kazin kabsa