korodani znawekwa kwente kisosi znakatiwa kachumbari nyepesi na asali vifuniko viwili lazma utaje majina ya miji yote nchini

Si kweliIla kuna mitaa fulani hivi ya mkonge hotel wana wake wananunua wanaume
Ndio maana JPM alifuta hizo semina, hazina tija zinaa tupuKuna seminar moja tulienda team ya watu 14, seminar iliisha Ijumaa, mpk Jumanne watu 8 tuliokuwa nao Tanga walikuwa bado kuripot ofisini.
usifananishe dubai na upuuzi wa tanga mkuu ua we ni mwanachama wa 071 maana barabara ya 9 mv nine ni mashoga watupu aua ufananishe znz na tanga mi nahis umerogwa usichezee na znz mambo ya foro k.koo bado hukwenda north coast kiwengwa au kendwa rocksYaan mimi hata likizo huwa sihangaiki na dubai wala zanzibar,mi ni Tanga tu utanikuta pale barabara ya9 na 6 *****
Au kule kwenye upepo wa pwaniii.nikianzia Tanga beach
utajuta bora ukae tandale kwa mtogole kuliko kwenda kuish tangaKunani tanga jamani?? Namimi niuze subaru yangu nihamie huko
hujui starehe wewe tanga kuna stareh ipi moja wapo tunaomba utuambieStarehe ipo tanga na Dsm japo kote tanzania kuzuri
Dah ..... Tanga ipi hiyo? Nimezunguka sana lakini sijaona chochote cha ajabu . . naombeni ramani nirudi tena
Kweli Tanga hakuna sehemu za starehe kama tunavyosikia tukiwa nje ya ule mkoa. Sana sana utaambiwa 'Tanga Pazuri' pale karibu na Sabasaba. Zunguka sehemu zote mjini Tanga, Raskazone, Masiwani, Donge, Makorora, Makojoni, Majani Mapana, Sahare, Amboni, Kange, Chumbageni, Usagara, barabara ya kwanza hadi ya ishirini, hakuna kitu chochote cha maana!hujui starehe wewe tanga kuna stareh ipi moja wapo tunaomba utuambie
Sure!utajuta bora ukae tandale kwa mtogole kuliko kwenda kuish tanga
Nenda mako Rora ndukiDah ..... Tanga ipi hiyo? Nimezunguka sana lakini sijaona chochote cha ajabu . . naombeni ramani nirudi tena
Ya kweli hayomi hata sion uzur wa tanga na hata sion pa kwenda kutembea ukastareh yaan naona papo papo tu hakuna hata pa kwenda ni kujichosha tu
Unamtofautishaje huyo na jini
Viroba vimezuiwa huyu kapata wapi?TANGA,... NYUMBA MOJA MGANGA NYUMBA NYINGINE MCHAWI, NYUMBA MOJA BASHA NYUMBA NYINGINE CHOKO ,HATAREEEE, WAGOSI WA KAYA WALIIMBA KUNA WALE KINA KAKA WANAO .................