Tanga imejaaliwa acha unaa, kuanzia busara,lufudhi,hekima,ustaarabu,warembo(kumbuka wanawake kila sehem wapo ila tanga kuna warembo),vipaji, uaminifu, nk in short tanga ni tangausifananishe dubai na upuuzi wa tanga mkuu ua we ni mwanachama wa 071 maana barabara ya 9 mv nine ni mashoga watupu aua ufananishe znz na tanga mi nahis umerogwa usichezee na znz mambo ya foro k.koo bado hukwenda north coast kiwengwa au kendwa rocks