Tanesco_M/nyamala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco_M/nyamala

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by zubedayo_mchuzi, Aug 7, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hyo kampuni kinvuli iko full kila kitu.
  >wanaonganisha umeme.
  >wanauza umeme luku.
  >mpaka mita zipo hapo.
  >silly
  >tokeni
  Huyu jamaa Wamchukue tu na awaonyeshe wateja wake waendelee kupiga hela kihalali.
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Huyo bwn Ibra Saidi na ofisi yake ni vidume vya mbegu!
  Anadai hiyo makitu ina miaka 7 ! Wanajikulia tu maini ya nchi ya Asali na Mamilk ! Shamba ya Nyanyaa !
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ndo ujue nchi hamna kitu...
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,055
  Likes Received: 6,498
  Trophy Points: 280
  ni miradi ya wakubwa hiyo,
  shamba la bibi kila mtu anao uhuru wa kwenda kuvuna.
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ni hatari hapa Dodoma kuna jamaa yeye ana duka la vifaa vya umeme mpaka mita anazo ni hatari
   
 6. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mamndenyi you are very right! ni mradi wa wakubwa, khaaaaa! kaaz kwel kwel, mpaka magwanda ya kazi jamaa anayo, lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mpaka kadi za wateja...jamaa apewe tenda ya kusambaza umeme wilaya za dar hapo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...