Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,073
- 2,450
Wataalamu waandike basi hiyo ERP itumike kwenye mashirika ya umma na pia tuuze nje ya nchi tuingize madola. Au wewe andika yako utajirike.we jamaa pumba sana, kwani hujui kuna mifumo mingine ipo kwenye windows? kwa hiyo serikali iandike OS kisha ifuatie na utility softwares n.k issue ni kuwa huu mfumo ungeweza kutengenezwa na watanzania kama ambavyo mingine imetengenezwa na kutika mpaka sasa bila shida, hiyo kununua nje ni ishara ya upigaji,mboba watu hawajalalamika ndege kununuliwa nje??? sababu tunajua sio uwezo wetu, ila kwa hili hapana, wataalamu wa ndani ni muhimu wapewe fursa ili waweke ujuzi wao