TANESCO Shinyanga kwanini mnakata umeme kila siku?

iyokichiku

Member
Oct 30, 2023
36
70
Kwakweli tumechoka na kukatika umeme Kila siku.

Hivii tanesco shinyanga mnashida gani? Kila siku mnajifanya kutengeneza maeneo mbalimbali Kama vile didia.
Leo hii mmekata umeme zaidi ya mara 3, Hadi usiku huu umeme umekatika.

Mnasababisha wananchi waichukie serikali.

Sasa imekuwa too much.

Mnakata umeme kwa kisingizio Cha mgao wa umeme.
 
Back
Top Bottom