TANESCO kuna shida gani Tarime kila siku jioni lazima mkate?

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Hii ratiba mlioanzisha hapa Tarime hatuwaelewi siku hizi kila siku saa 12 jioni lazima mkate umeme unarudi saa 4 za usiku, kila siku, kila siku kulikoni TANESCO

Vipi mdau kadhia hii ipo mtaani kwako pia?
 
Hivi tarime umeme umefika? Au kerosene ya kuweka kwenye chemli ndo imekatika?
 
Back
Top Bottom