Kunguru wameshaangushiwa jumba bovu.
Eti wanakula magamba ya nyaya😂😂😂Kwa hiyo sababu ya kukatika kwa umeme ni kuzimwa kwa mitambo ili kubadilisha hizo nyaya zilizoharibiwa na kunguru au kunguru ndio "wanazima" umeme?
Bange za bila.kula.hatari sana!!!Kuna siku nilikutana na fuso la chadema limejaa matrei ya mayai madogo madogo nikauliza ni mayai ya nini yale, wakaniambia ni ya kungulu yametoka ubeligiji wanayapeleka kwenye incubator la mbowe kutotolesha. Leo nimepata majibu
Mkuu naomba unisaidie kujua. Tangu 2015 hadi leo hii, ni matukio mangapi yameripotiwa kuhusu milipuko ya nyaya na transfomer kutoka eneo tajwa hapo juu?Hawali nyaya, huwa wanaokota takataka ili kwenda kujenga viota vyao.
Miongoni mwa hizo takataka wanazobeba ni nyaya mbovu ndogondogo zilizotupwa na watu, na zile ambazo hubaki baada kuchoma matairi ya gari.
Kunguru wanapobeba hizi nyanya na kwenda kutua nazo kwenye njia ya umeme wa msongo mkubwa (33KV kwa mfano) ndipo shoti hutokea, kwasababu wanagusanisha hasi na chanya kwa yale mawaya mabovu wanayobeba kwaajili ya kujengea viota.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku nilikutana na fuso la chadema limejaa matrei ya mayai madogo madogo nikauliza ni mayai ya nini yale, wakaniambia ni ya kungulu yametoka ubeligiji wanayapeleka kwenye incubator la mbowe kutotolesha. Leo nimepata majibu
Mkuu naomba unisaidie kujua. Tangu 2015 hadi leo hii, ni matukio mangapi yameripotiwa kuhusu milipuko ya nyaya na transfomer kutoka eneo tajwa hapo juu?
Haaa haaa haa bado unaendeleza kula bata Christmas na mwaka mpya?Kuna siku nilikutana na fuso la chadema limejaa matrei ya mayai madogo madogo nikauliza ni mayai ya nini yale, wakaniambia ni ya kungulu yametoka ubeligiji wanayapeleka kwenye incubator la mbowe kutotolesha. Leo nimepata majibu
Ujanjaujanja Tu!!Kunguru wameshaangushiwa jumba bovu.
Ninaowateua Wameshindwa Kufikiria Nje Ya Box
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia JuaKuna sababu na visingizio