TANESCO: Uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni

Kwa hiyo sababu ya kukatika kwa umeme ni kuzimwa kwa mitambo ili kubadilisha hizo nyaya zilizoharibiwa na kunguru au kunguru ndio "wanazima" umeme?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kwa taarifa hii inayolitia aibu shirika na serikali kwa ujumla, mimi mtumbuaji nisingevumilia, ningetumbua isivyoelezeka!
 
Huyu kalishwa matango pori tu maskini ya Mungu,kunguru wanakuraje nyaya za umeme?hakuna uwezekqno wa kunguru kupigisha short circuit ya nyaya za 33KV,sema Kama ataamua kupiga msamba!
Uwezekano wa kunguru kupigisha short ni mdogo sana,
Hawali nyaya, huwa wanaokota takataka ili kwenda kujenga viota vyao.

Miongoni mwa hizo takataka wanazobeba ni nyaya mbovu ndogondogo zilizotupwa na watu, na zile ambazo hubaki baada kuchoma matairi ya gari.

Kunguru wanapobeba hizi nyanya na kwenda kutua nazo kwenye njia ya umeme wa msongo mkubwa (33KV kwa mfano) ndipo shoti hutokea, kwasababu wanagusanisha hasi na chanya kwa yale mawaya mabovu wanayobeba kwaajili ya kujengea viota.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawali nyaya, huwa wanaokota takataka ili kwenda kujenga viota vyao...
Tangu lini kunguru akajenga viota kwenye trasformer au nyanya za umeme?

Acha kutetea ujinga, Watanganyika wa sasa siyo wa miaka 70, kuweni serious kidogo
 
Tangu lini kunguru akajenga viota kwenye trasformer au nyanya za umeme?
Acha kutetea ujinga, Watanganyika wa sasa siyo wa miaka 70, kuweni serious kidogo
MIMI BINAFSI NIMESHUHUDIA MATUKIO MATATU YA NAMNA HII LAKINI SI KWA UKUBWA AMBAO TANESCO WANASEMA, MAANA KARIBU KILA SIKU UMEME UNAKATIKA NA SIDHANI KAMA NI KUNGURU KILA SIKU WANAFANYA HIVYO.

KUNGURU ANAPOOKOTA TAKATAKA ZA KWENDA KUJENGA MAHALI HUWA HAENDI MOJA KWA MOJA LAZIMA APITIE SEHEMU MBILI TATU NDIPO AFIKE ANAPOENDA.

IKITOKEA MAENEO AMBAYO HAYANA MITI AKITOKA JALALANI ATATUA KWANZA KWENYE NGUZO.
 
Naona CDM wamekuja na stahili ya kunguru kuhujumu maendeleo ya Kinondoni.
CCM must look for counterpart measures asap. :rolleyes: :rolleyes: :rolleyes: :rolleyes: :rolleyes: :rolleyes:
Chadema bwana, wanamambo!
Pamoja na kushindwa hata kuingia Bungeni,wameamua kujikita Dsm na kujigeuza kunguru,
Hao kunguru wahamie na Dodoma Bunge likianza.
 
Hawali nyaya, huwa wanaokota takataka ili kwenda kujenga viota vyao.

Miongoni mwa hizo takataka wanazobeba ni nyaya mbovu ndogondogo zilizotupwa na watu, na zile ambazo hubaki baada kuchoma matairi ya gari.

Kunguru wanapobeba hizi nyanya na kwenda kutua nazo kwenye njia ya umeme wa msongo mkubwa (33KV kwa mfano) ndipo shoti hutokea, kwasababu wanagusanisha hasi na chanya kwa yale mawaya mabovu wanayobeba kwaajili ya kujengea viota.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado haileti maana..ili hizo nyaya zinazoletwa na kunguru kuweza kupigisha shoti ni ama ziweze kuungunisha waya mmoja na mwingine au zindondokee ndani ya transfoma na huko ndani ndizo zikasababishe short circuit....vinginevyo ni ngumu kunguru katua kwenye waya mmoja tu wa umeme na kipande kingine kidogo cha waya mdomoni mwake anasababishaje shoti ya umeme? haiingii akilini? na kwa tabia za kunguru hawajengi kiota kwenye waya labda transforma na hapo kwenye transforma kuna insulator ya kutosha kuzuia viwaya vidogo kuingia ndani yake na kweza sababisha ajali hiyo....atafute tu maelezo mengine ya kitaalam lakini sio kuwasingizia ndege hawa... daah kweli mbaazi akikosa maua...
 
One of the factors which affect electric current is RESISTANCE. KUNGURU WA KINO IS AMONG OF THAT RESISTANCE.
 
Kuna siku nilikutana na fuso la chadema limejaa matrei ya mayai madogo madogo nikauliza ni mayai ya nini yale, wakaniambia ni ya kungulu yametoka ubeligiji wanayapeleka kwenye incubator la mbowe kutotolesha. Leo nimepata majibu
Dah
 
Anamaanisha kunguru ni new specie ambayo imeanza kuexist hivi karibuni so that's why umeme unakatika mara kwa mara.

So anamaanisha kunguru hawakuwepo miaka mitatu iliyopita?

Like seriously?
 
Kuna siku nilikutana na fuso la chadema limejaa matrei ya mayai madogo madogo nikauliza ni mayai ya nini yale, wakaniambia ni ya kungulu yametoka ubeligiji wanayapeleka kwenye incubator la mbowe kutotolesha. Leo nimepata majibu
😂😂😂😂 dah!
 
Asantee kwa darasa Bora mkuu!!
Nimekukubali aisee. Utajifunza ukiwa hivi.
Ulitakiwa useme ARE THEY SERIOUS?
kama ni kitendo mfano kuuumia yani ku GET INJURED ndio unapachika seriously.
Mfano...
HE WAS SERIOUSLY INJURED IN THE ACCIDENT.

DO YOU SERIOUSLY TRUST HIM?...sababu hapa trust ni kitendo aka verb.

Achana na wale ma slayqueen wanaosemaga SERIOUSLY?!!! Hua wanachapia.
 
Back
Top Bottom