Jamaa Fulani Mjuaji
Member
- Jul 25, 2020
- 65
- 125
Zamani kulikua na baadhi ya maeneo Mfanyabiashara anafunga mitambo Ya Kuzalisha Umeme kisha anakua na Nguzo zake Simple kuna mmoja niliona anapitisha Nyaya kwenye Bomba kwa kufukia Chini na kusambaza nyaya anakua anauzia watu umeme unalipia kwa siku 3000 kwa ofisi za kawaida wanaotumia Vitu Vyepesi na Kama ni kazi za Kula Umeme sana Kundi la Kuchomelea unalipia 7000 kwa siku Kuanzia Asubuhi saa 12 mpaka saa 4 Usiku
Bora Hii Huduma Unakua na Uhakika na Umeme kwenye eneo la uzalishaji Yaani Hakuna Kukatika, na Sikuwahi kusikia Hawa Bwana wakisema mara kumetokea Mtambo umeharibika kwa sababu zikizimwa tu Walikua wanaanza kuzifanyia Services Muda huo Huo wa Usiku kuhakikisha kesho wateja wanapata Huduma Bora ya Umeme Tofauti na TANESCO ni mwaka saaa Umeme Hamna ni wa Mgao ila Bado Wanatuambia Wanazima ili watengeneze Mitambo.
Shida Serikali ikaanza kuwaandama hawa jamaa kwa sababu walikua wanapiga Kazi sana Hawa Jamaa walianza kuundiwa Vijisababu Kemkem kwa sababu waliiba kabisa Wateja (Soko) La Tanesco.
Hii Katika Katika Ya Umeme Hapa Nchini kwa sasa ni Kero mfano maeneo ya Mjini kati ni Bora nilipe kwa jamaa 3000 au 7000 Kwa siku ila nakua nimepiga kazi ya Saloon Kwangu kutwa nzima kuliko saivi ofisini Genereta kuliwasha lazima Uweke Mafuta Kutwa nzima si chini ya 25000.