live on
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 792
- 1,268
Kipindi Cha Jua Kali mgao ulikuwepo mkali sana mnaweza kukaa masa 8 Hadi 12 bila ya umeme ila ukiwaka mnaendelea na shughuli zenu
Baada ya mvua kunyesha na mabwawa kujaa maji Tanesco wameanza hu mtindo wa kuzima na kuwasha Kila siku inafika mara 10
Leo tokea saa Moja asubuhi Hadi Sasa sa tano umeshakatika na kuwaka mara nne nahvii Sasa umekatika
Hu ni mwezi Sasa tokea hili tatizo lianze hivi ni kweli Tanesco wameshindwa kutibu hili tatizo
Au Kuna hujuma hapa Tanesco wanataka mama aonekane kazi imemshinda maana Mimi siamini eti mwezi mzima mafundi wa Tanesco washindwe kutibu hili tatizo
Mama sikia Watumishi wa Tanzania hawawezi kufanya kazi bila ya kusukumwa na kutumbuliwa