Mizizi ya ukabila na ukanda ilianza kuzama chini sana.Ili iweje kila zama na kitabu chake
Kosa gani hilo mkuu lililomstahili kunyongwa.Unajua kosa lililomtoa? Zingekuwa nchi nyingine angekuwa amenyongwa.
Msidhani mama mjinga.
Tena akae kwa kutulia.kalemani achunge ng'ombe sisi tunataka umeme hatutaki watu.
Mgao mkali wa umemeTena akae kwa kutulia.
Wacha mama aumbuke,lengo si LNGHii katika katika ya umeme ni kiboko inakumbusha enzi za Mkapa na Kikwete. Rais Samia angalau uturudishie Kalemani Kama naibu waziri wa Nishati akapambane na TANESCO, wamerelax sana baada ya mtu huyu kuondoka. Umeme umekuwa Kero. Makamba aendelee kuwa Waziri na ajikite kwenye mafuta kalemani awe naibu ajikite na umeme
yani iyo treni ya umeme sijui ita operate vipi kwa umeme huu au tutakua tunaenda moro jioni umeme ukiludi yani ndoto zote zimezimwa kuna watu hawana aibu nchi hii sijui kwanini na wananchi tumetulia tunaangalia tu nchi inachezewa na mtu mmojaNi kweli winch ipo na ilitumika kutelemsha hiyo milango na pia hutumika kwa kazi mbalimbali.
Mitambo ya kuzalisha umeme ni mizito kuliko hiyo milango. Hivyo basi, haiingii akilini hiyo kampuni kubwa, na ilitembelewa na Rais SSH alipokuwa Misri, ikose winch ya kufanyia kazi!!
Halafu haya Matengenezo matengenezo ,Hitilafu hitilafu sijui nini ..... Vitu vya kipuuzi Puuzi ndio vimekuwa vijisababu vya kijingajinga tu, ambavyo serikali ya JPM ilivitokomeza na tukavisahau .... Leo hawa waliovamia fani isiyo wahusu ... Kazi kuangalia matumbo yao ndio wanaturudisha UJIMA . Uchumi wa nchi una drop kwa spidi kubwa. Sekta ya Umeme ndio sekta mama katika ku promote uchumi wa nchi. HAPA WANA HUJUMU SERA YA HAYATI RAIS JPM Isemayo Tanzania Ya Viwanda .Kwa hiyo kutolewa taarifa ya tarehe 15/11 ndiyo inabeba siku za mbele zinazofuata?
Jana Tarehe 15/11 hapakuwa na umeme kutwa nzima na leo tarehe 16 mpaka muda huu naandika hskuna umeme tangia asubuhi.
Nchi hii Tanesco walishatudharau sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wafanyakazi wa private sector ndio wako vizuri kuliko public sector, umekitoa wapi hicho kitu ?Cha kushangaza zaidi ni kwamba, shirika hili sasa lipo chini viongozi wapya tena wengi wao wakitokea katika sekta binafsi, tulitarajia kuwa wangalikuwa "proactive" na kutuandaa kisaikolojia kuhusu adha ambayo wanaiona
WANAHUJUMU Mipango na Mikakati ya JPM kwa makusudi Tuu. Hakuna lolote hapo . Rais MZALENDO alishatutoborea siri kuwa nchi hii sio maskini kabisa na ametudhihirishia hilo kwa vitendo, Kafanya mengi ikiwemo Miaka 5 BILA MGAWO WA UMEME.yani iyo treni ya umeme sijui ita operate vipi kwa umeme huu au tutakua tunaenda moro jioni umeme ukiludi yani ndoto zote zimezimwa kuna watu hawana aibu nchi hii sijui kwanini na wananchi tumetulia tunaangalia tu nchi inachezewa na mtu mmoja
mimi ilivyokuja ile pangua pangua tanesco nikajiliza inakuwaje kumbe kuna watu walikua na jambo lao wakahofia kukwamishwaWANAHUJUMU Mipango na Mikakati ya JPM kwa makusudi Tuu. Hakuna lolote hapo . Rais MZALENDO alishatutoborea siri kuwa nchi hii sio maskini kabisa na ametudhihirishia hilo kwa vitendo, Kafanya mengi ikiwemo Miaka 5 BILA MGAWO WA UMEME.
Ndio maana alikuwa na uhakika na miradi mikubwa kama huo wa SGR Kuwa utaendeshwa bila Matata.
Sasa hawa viongozi uchwara Usije ukapigwa Butwaa baadae watakwambia hautawezekana kumalizika kwa kuwa nchi ina upungufu mkubwa wa MegaWatts za Umeme.
Huu Mgao wa Umeme waliouanzisha Upo ki mkakati na lengo hapo ni kuhujumu tu miradi mikubwa.
Mungu Tusaidie tupate kambi ya viongozi WAZALENDO
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Kipindi cha nyuma walivyokuwa wakipeleka mlikuwa mnaenda wote?Usalama wanafiki sana sana sasa hv km hawapo jahazi linaenda mrama wapo tuu. Enzi za Jpm kupeleka ripoti kila leo.Sasa kwa Bi mdenga hampeleki kuhusu umeme.
alikuwa CCM ila alikuwa anatumia ilani ya CHADEMA kuongoza nchiKwani JPM alikuwa ni wa chama gani? Mbona katika utawala wake hakukua na mgao wa umeme?
Kwani ulikuwa humsikii alivyokuwa anamwaga live, pia uwe unajibu hoja siyo kumuataki mtu alaaahKipindi cha nyuma walivyokuwa wakipeleka mlikuwa mnaenda wote?
Mjiandae muda c mrefu wataongeza na bei yenyeweHalafu haya Matengenezo matengenezo ,Hitilafu hitilafu sijui nini ..... Vitu vya kipuuzi Puuzi ndio vimekuwa vijisababu vya kijingajinga tu, ambavyo serikali ya JPM ilivitokomeza na tukavisahau .... Leo hawa waliovamia fani isiyo wahusu ... Kazi kuangalia matumbo yao ndio wanaturudisha UJIMA . Uchumi wa nchi una drop kwa spidi kubwa. Sekta ya Umeme ndio sekta mama katika ku promote uchumi wa nchi. HAPA WANA HUJUMU SERA YA HAYATI RAIS JPM Isemayo Tanzania Ya Viwanda .
Ndio Maana Jpm alihakikisha upatikanaji wa umeme wa Uhakika. Lakini nashangaa hawa viongozi warithi ... Siku mbili tu ... Wanaipeleka nchi Korongoni .... Kama ndio madereva basi walikula ada ya chuo cha udereva. KWAKWELI tunahitaji WAZALENDO Kwa Taifa Letu hili.
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app