Tunaomba taarifa fupi mtuambie kwanini umeme unakatika sana kipindi hichi cha awamu ya SAMIA? wakati wa mwendazake hatukuyaona haya, tuseme mna agenda yenu ya siri?
Kilichobadilika ni waziri tu ila watendaji ni walewale na miundo mbinu, Kalemani aliwezaje na Makamba anashindwaje? Mimi hata sielewi hii nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.